Nahitaji kujenga nina milioni 13, mwenye ramani nzuri anipe

Hiyo pesa inanyanyua nyumba ya kisasa bila finishing eneo zuri,lakini pia kiwanja kiwepo sio utegemee kununua kiwanja hapo.

Cha kukushauri mkuu nyumba sio gari,haimshindi mtu.

Chukua ramani ya kiume kabisa,hata ya vyumba vinne na mataka taka yote,pandisha mpaka juu ezeka.halafu anza ku deal na chumba kimoja baada ya kingine kwa hela ya kudunduliza,ndani ya miaka miwili kwisha kazi.
Kama Kujenga rahisi hivyo wengi wangekua na nyumba
 
Kama Kujenga rahisi hivyo wengi wangekua na nyumba

kwani kuwa na nyumba ni deal basi!!!
si kila mtu ana uwezo wa kumiliki hiyo 13mln,ambayo wewe unaiona ni ndogo.ila waliobahatika kuishika wamejenga,wewe endelea kuidharau.

usichojua nyumba hupanda thamani hata 250% mara baada ya kwisha tu.so usitishwe na zile bei.anza ujenzi na ulicho nacho ndugu.
 
Atapigwa kuna nyumba zinauzwa hazina hata lenta. Anaweza akanunua mjanga.
Bora ajenge mwenyewe aone.

Kweli kabisa mkuu, wengi wao sio wakweli. Lakin waweza 2mia njia nyingine ili kujua ubora wa hiyo nyumba kabla hujatapeliwa, achukue fundi akaikague ajiridhishe kabla hajailipia
 
Back
Top Bottom