Nahitaji kuiitafuta simu yangu iliyoibiwa

Nov 13, 2018
8
4
Za saivi wana JF mimi leo mchana nilimtuma mdogo wangu akatoe hela bahati mbaya njiani alichukuliwa na wezi na kuachwa maeneo mbali na nyumbani. Hivyo basi nilikuwa nahitaji niipate simu yangu.

Hatua awali za polisi nimesha fanya.
 
Back
Top Bottom