Nahitaji kuiitafuta simu yangu iliyoibiwa

Nahitaji kuiitafuta simu yangu iliyoibiwa

Joined
Nov 13, 2018
Posts
8
Reaction score
4
Za saivi wana JF mimi leo mchana nilimtuma mdogo wangu akatoe hela bahati mbaya njiani alichukuliwa na wezi na kuachwa maeneo mbali na nyumbani. Hivyo basi nilikuwa nahitaji niipate simu yangu.

Hatua awali za polisi nimesha fanya.
 
mimi niseme pole mkuu,wajuzi wa mambo wanakuja kukupa majibu
 
Back
Top Bottom