PATIENCE PB
Senior Member
- Apr 3, 2014
- 163
- 37
Kwangu Mimi ni vigumu kujiajiri kama sijaajiriwaVipi huwazi kujiajiri ww unataka kuajiriwa tu
Wakubwa shikamooni!!
Wanajamvi naleta huu uzi mwenye kujua hii course ya B.A.Economics ya UDSM anieleze ina opportunity zipi za kazi kwa sababu mimi nimemaliza kidato cha sita mwaka huu na nimepata div. One na nataka nifahamu kuhusu hiyo course na wapi ntakuwa nafanya field kama ntakuwa nimesoma hiyo na soko la ajira liko vipi ukiwa economist?Nimesoma ECA-Kibaha boys
Asanteni!!
Ni vitu gani vinaweza kusababisha mi kusota mtaani kwa muda?? Na ni muda gani? Na hao wachumi wanalipwa mishahara katika daraja lipi kwa kuanzia?? Nijibu na hayo tafadhali kama unafahamu?Unakua MCHUMI. Unaweza kuajiriwa kama mchumi kwenye halmaishauri za mikoa na wilaya, unaweza kufanya kazi kwenye taasisi za fedha, ngo, au Kama wengi walio na ndoto za benki kuu waweza kuajiriwa pia. Si kozi mbaya japo waweza sota mtaani kidogo.
Mkuu je Mimi wa HGE naweza soma hiyo course ?Unakua MCHUMI. Unaweza kuajiriwa kama mchumi kwenye halmaishauri za mikoa na wilaya, unaweza kufanya kazi kwenye taasisi za fedha, ngo, au Kama wengi walio na ndoto za benki kuu waweza kuajiriwa pia. Si kozi mbaya japo waweza sota mtaani kidogo.
Ni vitu gani vinaweza kusababisha mi kusota mtaani kwa muda?? Na ni muda gani? Na hao wachumi wanalipwa mishahara katika daraja lipi kwa kuanzia?? Nijibu na hayo tafadhali kama unafahamu?
Yeah unasoma,mm nimemaliza mwaka huu na nilikuwa HGEMkuu je Mimi wa HGE naweza soma hiyo course ?
Bila kumsahau dr karamagi.Moja kati ya kozi bora kabisaa udsm BA economics.
Unaweza kufanya kazi kwenye taasisi za fedha mfano benk, TRA,
Unaweza kufanya kazi kwenye kampuni mbalimbali za kibiashara
Unaweza kujiajiri
Unaweza kuwa mwalimu Wa economics
Kwa kweli hii fani ina sehem nyingi saana na kufanya kazi kwa vile haina deep specialisation ..
Cha msingi kama unasoma economics dogo ukaze msuli GPA isome vizuri pia weewe mwenyewe uwe compitent ....
Jiandae kukutana na walimu wanaobana marks balaa pale udsm kama Dr osorro, Dr mkenda, Mr mkai, Loikina, na wengine wengi wanaofanya maisha ya hii course kuwa ngumu.
Ukiwa unasoma anza kufanya connections mapema za kazi LA sivyo njoo tuungane kuzungusha majembe(bahasha) mtaani
Good luck
Hahaha huyu bwana aliondokaga akarudi tunasoma ile kozi ya intermediate economic second year dah tulikuwa 250 akakerisha 80 kwanza kozwek... Badae sup za kumwaga...! Sio mtu mzuri kabisaBila kumsahau dr karamagi.
Mm huwa nawashaur wadogo zangu (zetu) kChamsingi ni kua The Best.Hahaha huyu bwana aliondokaga akarudi tunasoma ile kozi ya intermediate economic second year dah tulikuwa 250 akakerisha 80 kwanza kozwek... Badae sup za kumwaga...! Sio mtu mzuri kabisa
Ni Kweli, Umemjibu vizuri mkuu. Kusota mtaani ni jambo la kawaida na ukiliweka mbele sana waweza kuachana na career yako ambayo unataka kuisomea. Na haijalishi kozi, waliochukua BAED NA BED karibia mwaka mzima wapo home, na hawajajua hatima yao mpaka sasa. Ni kujipanga tuKusota mtaani kwa maana ya kukosa ajira kama ujuavyo wachumi wako wengi tayari kwa hiyo kazi sio rahisi kupatikana.Muda haujulikani can be up to years hadi wengine wanaenda kusoma pgd ya education
Scales zao sijui ila najua inategemea na wapi ulipoajiriwa
unasona bila shakaMkuu je Mimi wa HGE naweza soma hiyo course ?
Kwa udhamin wa ALLEN NJAUWakubwa shikamooni!!
Wanajamvi naleta huu uzi mwenye kujua hii course ya B.A.Economics ya UDSM anieleze ina opportunity zipi za kazi kwa sababu mimi nimemaliza kidato cha sita mwaka huu na nimepata div. One na nataka nifahamu kuhusu hiyo course na wapi ntakuwa nafanya field kama ntakuwa nimesoma hiyo na soko la ajira liko vipi ukiwa economist?Nimesoma ECA-Kibaha boys
Asanteni!!
Daa mkuu Leo nimefatilia wamenambia wanataka C ya math ya olevel na mm Nina D ila advance Bam Nina E na Eco B Hist C na Geo C sasa sijuh ni apply ivo ivo mkuu naomba ushaurYeah unasoma,mm nimemaliza mwaka huu na nilikuwa HGE