Nahitaji kufungua account ya bussines YouTube, ninaomba msaada

Nahitaji kufungua account ya bussines YouTube, ninaomba msaada

der23

Member
Joined
Sep 28, 2020
Posts
20
Reaction score
16
Mimi naitwa derrick nipo dar naitaji kufungua account ya bussines YouTube ninaomba msaada kwa mwenye Kujua jinsi ya kufungua account ya bussines ya YouTube

Asanteni sana

Mungu awabariki.

Screenshot_20201005-132516.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili upate verification last time ulitakiwa uwe na subacribers kama Laki 1 ndio wakusikilize, ama uwe unamiliki business maarufu ambayo ukiwatajia google utapata Attention yao.

Kama una subscriber 1 kuna chance kubwa hawatakusikiliza.
 
Kwahyo kak nafanyaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka ujulikane au biashara yako ijulikane.Kampige Haji Manara utapata followers wengi ha ha
 
Kama huja sajili channel tcra basi jiandae na faini au kifungo jela
 
Back
Top Bottom