Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,979
- 5,295
- Thread starter
- #21
Anaogopesha, ana tabia za ajabu, akisema sitaki vibomu ni hataki kweli, na hakwepeshi.Huyo dogo ana tabia kama zangu kabisa ila anyways huwa kuna mambo mengi sana tunayabeba moyoni ila tumetofautiana hapo kwenye kuwa wa mwisho darasani aise, sijawahi. Mwisho ni kwamba utafanya namna zote ila hauji kumfahamu kiundani hata kidogo.