Nahitaji kufahamu huyu dogo ni mtu wa aina gani

Anapiga sana nyeto ndio maana anapenda kukaa peke yake, sie wengine tulionekanaga maintrovert kumbe nyeto baada ya kupata madem now ni ma extrovert ajabu
Hiyo ni kwako, yeye hapigi ana gf wake kabisa, ila toka utoto yupo hivyo.
 
Vipi hana tabia za kudhuru wengine au kujidhuru anapopata hasira, je kuna kitu anachopendelea kufanya mara nyingi akiwa peke yake (kitu gani kama kipo?), mbali na kufeli darasani hakuna jambo lolote au somo ambalo analiweza kupita kiasi?
Hapana hana tabia hizo, anapenda amani na anaweza kukusamehe kwa urahisi hata kama umemtukania mama yake mzazi
 
Huyo mumtafutie papuchi aigonge mpaka na kusaza atakuwa amepata tiba na mtaona mabadiliko ,ni ukame tu wa papuchi unamsumbua
 
Back
Top Bottom