Nahitaji kueleweshwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji kueleweshwa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mage, Sep 25, 2008.

 1. M

  Mage Member

  #1
  Sep 25, 2008
  Joined: Sep 2, 2008
  Messages: 42
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tafadhali naomba mnieleweshe hasa nyie wanaume atii inakuwaje unakuta mdada mzuri sana tuu wanamsifia kila mtu ,uko bomba,umetulia, oooh u look smart halafu ukimuuliza huyo dada unaboyfriend atakuambia sina na kwanini atakuambia hawanifati,sasa hapo nyi mnaelewa jee?

  Na huyo binti utakuta ni mzurii,tabia nzuri,charming anaelimu yake vilevile dharau hana.Jamani nyie wanaume tuwaelewejee?
   
 2. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Samahani, umemuuliza swali hilo wewe ukiwa na umri gani na huo 'mdada' ukiwa na umri gani (walau average tu)?!
   
 3. H

  Haika JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  maybe the combination is not attractive.
  Au wanaogopa kushare, manake wazuri wanapendwa na wengi?
  Ngoja waseme wenyewe
   
 4. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2008
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Interesting!
  Are these the credentials zakupendwa? Chemistry labda haziendani na anayewataka yeye..labda kuna watu anaowataka yeye na wao hawamtaki.Wanaomtaka yeye hawataki!
   
 5. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ...

  Mage viwango vya kupima uzuri wa msichana na tabia hutofautiana kati ya mwanaume mmoja na mwingine. Hapa hatuangalii sura tu au umbo peke yake? Kuna vitu vidogo vidogo ambavyo vinaweza kumfanya msichana akaonekana si mali mbele ya mwanaume hata kama ana elimu kubwa/nzuri na vijisenti vyake. Hata kama mtu ataamua kumtokea yaweza kuwa si kwa mapenzi ya kweli may be ni kutaka just kuonja then anakula kona.

  So hata kwa huyo unayemzungumzi wewe huenda kuna siku akakutana na mwanaume anayependa mwanamke mwenye sifa ulizotaja awe mvumilivu tu.
   
 6. F

  Fisadi.Jones Senior Member

  #6
  Oct 11, 2008
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 110
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Does she smell sawa sawa? :confused:

  Hiyo kidogo haiingii kichwani. Ukitaka kujua kwamba haiingii kichani, we toa picha yake hapa na simu yake ...

  Wanaume dada mage ni watu wa ajabu sana. Kama wewe unavutia hivyo lazima watakutamani na watataka kukunanihii bwana.
   
 7. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #7
  Oct 11, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,813
  Likes Received: 83,188
  Trophy Points: 280
  Where is she? ha ha ha I am just joking...LOL! Sijui kama wanaume wanamuogopa kumsarandia mwanamke aliyeumbwa akaumbika, ana tabia nzuri na pia ni smart kwa kuogopa kushare. Labda kuna sababu nyingine ambazo huyo kimwana hakukumwambia. Kumbuka vyote ving'aavyo si dhahabu.
   
 8. A

  Aunty Lao JF-Expert Member

  #8
  Oct 11, 2008
  Joined: Jul 7, 2008
  Messages: 215
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mage hali, ni kweli yawezekana kwa haya yote kutokea. I have an experience with that which lead somewhere bad. Au pengine huyu dada anatatizo ambalo bado hajajijua. Pengine kwa ushauri wa haraka haraka acheki kinywa kama ni kisafi no heritating smell au "kadadaa" anatoa harufu safi natumaini nimeelekwa.
   
 9. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Wanaume tumekuwa adimu.......kwa kila mwanaume mmoja anafaa kuwa na wanawake 9......1:9 ili kuweka ratio sawa....
  Kwa hiyo huwa tunazidiwa na namba hiyo.......nafikiri mwanamke wa hivyo hajapata wa kumsiha masikio.........anapata wa kummegana kumuacha......

  ........sisi wakiume tuna tabia za ajabu za kuchovya chovya tukitafuta ladha nzuri......ladha ikiwa chungu ndio unakuta mtu anayeya
   
 10. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  wamezoea vya kuiba .. kwani wanaume wengi ukitaka kuwatia stimu waambie unamchumba ama umeolewa utaona

  Guess na huyu mdada is impatient .. akianza kumwambia kila mtu yuko single .. that shows kwamba shes desperate na lazima atapata mtu feki .. kwani this is not the best approach ya kupata mpenzi

  Atulie tu .. maybe wale anaokumbana nao hawajiamini na wana inferiority complex .. so asilazimishe maana huenda akajikuta in wrong hands.

  Advise her to concentrate on whatever shes doing and pay less attention to her situation .. kwani its not a priority au lazima kuwa na mpenzi .. shes in a good position to come accross someone soon or later even without wasting a lot of energy.
   
 11. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #11
  Oct 14, 2008
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Uzuri ni subjective and not objective. Anayejiona ni mzuri wakati mwingine huwa na maringo ya kumtoa nyoka pangoni. Anapofuatwa na wanaume hujiaona yeye ni yeye na kuwatolea nje. Kwa hiyo inawezekana ana marafiki kibao, kwani wapo warembo au wasichana ambao ukiwauliza una rafiki wa kiume au la, walio wengi hukimbilia kusema hawana. Ukichunguza utakuta anao na si mmoja.
   
 12. Spear

  Spear JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2008
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  well uzuri wa sura umbo na tabia peke yake havitoshelezi inawezekana kumkwaa msichana akiwa na sifa hizo zote lakini kukawa na mapungufu ambayo huwezi kuyastahamilia kwa mfano unapomuondowa nguo na kuona hali tafauti na ile inayoonekana nje pia ukakuta mazingira ya huko ndani si ni tafauti na yale yakawaida (ukitaka kujuwa uzuri na usafi wa nyumba uingie ndani) Gari ni mashine na sio body peke yake
   
 13. F

  Fisadi.Jones Senior Member

  #13
  Oct 17, 2008
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 110
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hivi wewe hata kwenye maisha ya ukweli una busara hivyo? au ni huku kwenye intaneti tu?
   
 14. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #14
  Oct 17, 2008
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0

  Food for thought!
  Kushauri mara nyingi ni rahisi sana..njoo kwenye real life......
  ingewezekana kujuana humu nani ni nani na anaishi vipi..labda tungeshangaana wenyewe kwa wenyewe!
   
 15. K

  KakaNanii JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2008
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33

  elewa kwamba mwanamume hapatwi kwa ngono pekee. Dada zetu wana kitu kimoja, ukimsifia tu kwamba ni mzuri basi kitu cha kwanza akilini mwake ni kwambwa wewe unamtaka.wakati sivyo. Hata mlemavu anaweza kupendeza tu !

  Pili wanaume kama walivyo wanawake ,haiwezekani tu mtu atoke "from no where" basi aje kukuparamia tu na kukuambia anataka kukuoa !hata wewe mwenyewe utashituka.

  Wanaume kuna mambo mengi sana huwa wanaangalia kwa mwanamke. Lakini dada zetu kitu au tamko wanalotaka kusikia kutoka kwa mwanaume ni kwamba "nitakuoa" ,hapo wasichana wengi hujisikia washindi na hufurahi bila kuangalia au kufikiria ya kwamba ataolewa vipi ???

  Kwa hiyo ewe dada yangu acha kumshinikiza mwanaume aseme ya kwamba "nitakuoa". Maana kama kweli ni muoaji basi atakuoa tu "automatically" !

  Hivyo dadaz kumbukeni ya kwamba mwanamume hapatwi kwa ngono tu !
   
Loading...