Nahitaji kuelewa wana JF

BxAarfa

JF-Expert Member
Sep 7, 2012
700
119
Nawaombeni wanaJF munieleweshe kuhusu vitu hivi ambavo huwa naviona tu everyday naomba kujua tofauti zake na maana zake labda!
1)Android
2)Symbian
3)Java
4)Jad
 
Hii kichwa ya habari imenistua kweli ......basi kumbe siyo ngoja waje wajuvi wakueleweshe!!
 
Kama kompyuta ilivyokuwa na uwezo wa kuwekewa na kutumia operating system (O.S) za windows, linux, mac e.t.c Basi ndivyo hivyohivyo pia simu huwekewa operating system ili kuwezesha hardware ziundazo simu kufanya kazi stahiki.

Hivyo basi kwa upande wa simu tutaona operating sysytem za Android, symbian, iOs, java, windows, e.t.c.

iOs hutumika katika simu zinazotengenezwa na apple, symbian hutumika katika simu zinazotengenezwa na nokia, java, windows na android hakuna handset manufacturer maalum anayetumia operating system zao hivyo hutengeneza O.S na kuziuza kwa makampuni kama samsung, HTC, motorola, baadh ya nokia na nyinginezo kwa mikataba maalum.

Kuhusu Jad, hii ni executable file format inayotengenezwa kwa ajili ya kutumika katika simu zenye operating system za java.

Hope nimekuelezea kwa kifupi na umepata point katika maelezo nliyoyatoa.
 
Yeaah nakushkuru sana JF kuna raha yake kumbe zaidi ya Fb,vitu sikuelewa vina maana gani kabla ila nmepata point za kushika
 
Haya hata mimi nimmefaidika sana, lakin samahani mkuu nisaidie kwa hili maana unaonekana unauelewa nalo, nina nokia 5310 express music lakin mwanzoni mwa mwezi huu ilishambuliwa na virus hivyo nikaambiwa ningumu kutengeneza lakin baadaye rafiki yangu mmoja aliniambia kwamba unaweza download softwares zake kwenye mtandao.

naomba nifahamishe je ni kweli?

Au nini nifanye maana naipenda sana hii sim.

Asante! waweza hata nitumia ujumbe kwenye simu yangu 0712752544
 
Hii kichwa ya habari imenistua kweli ......basi kumbe siyo ngoja waje wajuvi wakueleweshe!!

Hata mimi nilistuka!! Nilikuwa sina miwani, ilinipasa kuitafuta kwani kuna sehemu nilisoma mchango wa mleta mada na ukawa uko kidume dume. Sasa nilipoona kichwa cha habari, sikuamini....niliona: Nahitaji kuolewa wanaJF.
Nikajiuliza kakosea jukwaa?

Baada ya kuweka lens, niliangua kicheko. Ahh kuelewa! sio kuolewa.
 
JF bwana hahaha eti kuolewa duuh!!!#mchango wangu kidume dume ndo style gani?
 
Haya hata mimi nimmefaidika sana, lakin samahani mkuu nisaidie kwa hili maana unaonekana unauelewa nalo, nina nokia 5310 express music lakin mwanzoni mwa mwezi huu ilishambuliwa na virus hivyo nikaambiwa ningumu kutengeneza lakin baadaye rafiki yangu mmoja aliniambia kwamba unaweza download softwares zake kwenye mtandao.

naomba nifahamishe je ni kweli?

Au nini nifanye maana naipenda sana hii sim.

Asante! waweza hata nitumia ujumbe kwenye simu yangu 0712752544

Kwa kuanzia simu yako inabehave vipi.? Ni kitu gani kinachokufanya useme kwamba simu yako imeingia na virusi.?
 
yaan hiyo simu nikiwasha inawaka within a moment inaniambia contact saved na inazima, hilo la virus nililipata kwa mafundi walitaka kuflash lakin wakasema haiwezekan kwani programmes zote zimetafunwa, na nikaamini kwani nilikuwa naitumia sana kwa internet
 
JF bwana hahaha eti kuolewa duuh!!!#mchango wangu kidume dume ndo style gani?
BxArfa,
Unashangaa hilo la kuolewa?
Pitia jukwaa la mapenzi, utaona huko kuna watu wanatafuta boyfriend, girlfriend, mke, mume nk.

Mchango wa kidume dume, ni maandishi yanayoashiria kuwa mwandishi ni mwanamme na hilo nimesema kuwa nimesoma michango yako sehemu(katika threads nyengine) ambayo inaashiria mwandishi ni mwanamme.

Kama ni wa jinsia nyengine, nisamehe mkuu.
 
Do you mean that she is a HE!?
 
Back
Top Bottom