ehee kumbe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2013
- 267
- 155
Gharama za kuchimba visima Dodoma zipo Juu sana bei ya chini kabisa unayoweza pata ni 120000 mimi nataka kuchimba huko huko Dom mwezi wa Tisa au wa Kumi na kuna jamaa nimempata anaweza kunichimbia kwa 90000 kwa mita kama utakuwa tayari mida hiyo tunaweza kuunganisha ikawa safari moja inaweza saidia kupunguza gharama
mkuu huyo ni hawa mafundi wetu wa mitaani au? kifupi napenda kujua anatumia vifaa gani kuchimba? manual au ana mashine maalum?
samani na mimi niulize hapo,kunamalipo yoyote kwa serikali kama kodi au vinginevyo kwa mliki wa kisima?je,mchimbiwa kisima ni lazima apate kibali serikalini?kwa visima vingi vilivyo chimbwa dodoma huwa na maji yenye chumvi nyingi je,maji hayo yanaweza kufaa kumwagili mimea?
Gharama za kuchimba visima Dodoma zipo Juu sana bei ya chini kabisa unayoweza pata ni 120000 mimi nataka kuchimba huko huko Dom mwezi wa Tisa au wa Kumi na kuna jamaa nimempata anaweza kunichimbia kwa 90000 kwa mita kama utakuwa tayari mida hiyo tunaweza kuunganisha ikawa safari moja inaweza saidia kupunguza gharama
ina maana mita moja ni 90000 mara 80 = 90000 * 80 = 7200000, du. milioni saba na laki mbili kisima tu, na kama ikiwa mita100 maana yake milioni 9 kisima tu? bado pampu ya kupandisha maji na mafuta ya hiyo pumpu na mpira wa kumwagilia.du bado kununua hilo shamba la heka kumi, bado kulima hilo shamba kwa trecta? embu nijuzeni kidogo.
kwa kamshahara kangu hata nikifanya kazi miaka 20 alafu nichukue pension yote kupeleka shambani mbona bado inaweza isitoshe.
Mimi nimechimba kisima Dodoma.. Nimezunguka makampuni mengi ofa ya chini kabisa niliyopata kuchimba na kuinstall PVC screen na plain casing ni 160,000 kwa mita.. na dodoma sehemu nyingi ni lazima ufike at least mita 100.. Na usijidanganye ukaja dodoma na mad rota( machine zinazochimba mwamba laini kama Dar na sehemu nyingi za pwani).. na usidanganywe uweke casing ya chini ya inch 6..
Binafsi kuchimba kutengneza water tower kuinstal matanks na pump pamoja na jenereta imefika 26M na hapo sijaweka miundo mbinu ya umwagiliaji.. NI PM kama unataka maelekezo zaidi
ina maana mita moja ni 90000 mara 80 = 90000 * 80 = 7200000, du. milioni saba na laki mbili kisima tu, na kama ikiwa mita100 maana yake milioni 9 kisima tu? bado pampu ya kupandisha maji na mafuta ya hiyo pumpu na mpira wa kumwagilia.du bado kununua hilo shamba la heka kumi, bado kulima hilo shamba kwa trecta? embu nijuzeni kidogo.
kwa kamshahara kangu hata nikifanya kazi miaka 20 alafu nichukue pension yote kupeleka shambani mbona bado inaweza isitoshe.
Mkuu huko shamba nani atakudai kodi/ushuru wa kisima? Sijawahi ona hiyo kitu.Hayo maji hayawezi kuwa na chumvi kama ya baharini ni chumvi ya kawaida ambayo haina madhara sana kwa mimea
Hii itakuwa observation borehole afu wanaigeuza kwa kuiwekea pamp inaanza kuzalisha maji....watu wamelia sana aiseekumbe nyie mnaibia serikali enh!!
yaani mna drill underground water kwa ajili yenu wakati ni resource reserved kwaajili ya watu wote halafu hamtulipi kodi??
Hivi mnajua sheria ya maji inasemaje?? maji ni resource ambayo inamilikiwa na head of state kwamaani hiyo hata kudrill tu lazima uombe kibali kwake..................
Usiogope bwana watu wanaivunja hii sheria ila kama kwenu kuna watu wanoko hasa madiwani na wenyekiti wa vijiji basi watawakuletea kasheshe.
Ushauri wangu hakikisha anyekuja kudrill asije akawa amedrill kwenye acquifer akakwambia tayari nimehsapata maji. lazima uhakikishe anatoboa underground water. wengi wanalizwa kwa staili hii manake acquifer inaweka maji lkin maji haya huisha baada ya muda let say 10yrs ama 5 hivyo lazima hii elimu uwe nayo.
Tunaomba muongozi mkuu. Tofauti ya aquifer na underground water ni nini-maana umenichanganya na kunifungua akili kwa wakati mmoja. Kwa mfano nitajuaje haya ni maji toka aquifer au underground wakati yote yanatoka chini (underground)???kumbe nyie mnaibia serikali enh!!
yaani mna drill underground water kwa ajili yenu wakati ni resource reserved kwaajili ya watu wote halafu hamtulipi kodi??
Hivi mnajua sheria ya maji inasemaje?? maji ni resource ambayo inamilikiwa na head of state kwamaani hiyo hata kudrill tu lazima uombe kibali kwake..................
Usiogope bwana watu wanaivunja hii sheria ila kama kwenu kuna watu wanoko hasa madiwani na wenyekiti wa vijiji basi watawakuletea kasheshe.
Ushauri wangu hakikisha anyekuja kudrill asije akawa amedrill kwenye acquifer akakwambia tayari nimehsapata maji. lazima uhakikishe anatoboa underground water. wengi wanalizwa kwa staili hii manake acquifer inaweka maji lkin maji haya huisha baada ya muda let say 10yrs ama 5 hivyo lazima hii elimu uwe nayo.
Tunaomba muongozi mkuu. Tofauti ya aquifer na underground water ni nini-maana umenichanganya na kunifungua akili kwa wakati mmoja. Kwa mfano nitajuaje haya ni maji toka aquifer au underground wakati yote yanatoka chini (underground)???
Basi endelea na kilimo cha kizamani cha kupatachupa moja ya mpunga,kilimo kinahitaji hela nyingi kama kweli umeamua kuwa mkulima na umeamua kilimo kikutoe,jamaa anaangalia kupata faida baada ya muda flani ndio maana ya kuwekeza,tatizo waTz tunapenda njia mkato na urahisi rahisiina maana mita moja ni 90000 mara 80 = 90000 * 80 = 7200000, du. milioni saba na laki mbili kisima tu, na kama ikiwa mita100 maana yake milioni 9 kisima tu? bado pampu ya kupandisha maji na mafuta ya hiyo pumpu na mpira wa kumwagilia.du bado kununua hilo shamba la heka kumi, bado kulima hilo shamba kwa trecta? embu nijuzeni kidogo.
kwa kamshahara kangu hata nikifanya kazi miaka 20 alafu nichukue pension yote kupeleka shambani mbona bado inaweza isitoshe.
mkuu upo sahihi kabisa wala hujakosea hizo ndo gharama halisi naomba kujua casing ni nini! Au ndo yale mabomba ya kupandishia maji?
Nakuwekea PM mkuuMimi nimechimba kisima Dodoma.. Nimezunguka makampuni mengi ofa ya chini kabisa niliyopata kuchimba na kuinstall PVC screen na plain casing ni 160,000 kwa mita.. na dodoma sehemu nyingi ni lazima ufike at least mita 100.. Na usijidanganye ukaja dodoma na mad rota( machine zinazochimba mwamba laini kama Dar na sehemu nyingi za pwani).. na usidanganywe uweke casing ya chini ya inch 6..
Binafsi kuchimba kutengneza water tower kuinstal matanks na pump pamoja na jenereta imefika 26M na hapo sijaweka miundo mbinu ya umwagiliaji.. NI PM kama unataka maelekezo zaidi