Nahitaji kuchakachua Hp cartridge 650

Kitabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
313
Reaction score
29
wakuu nimepewa cartridge iliyoisha wino na mtu,nimejaza tayari lakini nikiweka kwenye printer inaniandikia kuwa imefungiwa,inatumika na printer ile ilipokuwa tu. Naomba msaada namna ya ku - unlock ili niweze kuitumia
 
Irudhishe kwenye printer ilipokuwa ufungue prog ya printer kwenye pc nenda setting kwenye catredge unlock ili iweze kutumika kwenye printer zingingine, huwa zinalokiwa ukitaka
 
Irudhishe kwenye printer ilipokuwa ufungue prog ya printer kwenye pc nenda setting kwenye catredge unlock ili iweze kutumika kwenye printer zingingine, huwa zinalokiwa ukitaka
nimeenda leo mkuu,nikafanya hivo,cha kushangaza nilipoiweka kwenye printer yangu hali ikawa vilevile
 
Nina hizo catridge 4 mpya njoo nikuuzie kwa bei sawa na bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…