Abu_yazid JF-Expert Member Joined Mar 28, 2014 Posts 3,435 Reaction score 4,254 Aug 26, 2015 #1 hakika mwenyezi mungu ni mmoja na muhammad ni mtume wake
H HASANALIS JF-Expert Member Joined Dec 19, 2012 Posts 211 Reaction score 47 Aug 26, 2015 #2 Una mafunzo ya kiislam ya kiwango kikubwa sana?! Yaani kikubwa sana
Abu_yazid JF-Expert Member Joined Mar 28, 2014 Posts 3,435 Reaction score 4,254 Aug 26, 2015 Thread starter #3 HASANALIS said: Una mafunzo ya kiislam ya kiwango kikubwa sana?! Yaani kikubwa sana Click to expand... kiwango kikubwa, ila kuna walionazd na sio kikubwa kama unachokifikiria ndugu
HASANALIS said: Una mafunzo ya kiislam ya kiwango kikubwa sana?! Yaani kikubwa sana Click to expand... kiwango kikubwa, ila kuna walionazd na sio kikubwa kama unachokifikiria ndugu
M Mteule halisi Senior Member Joined Oct 21, 2014 Posts 197 Reaction score 98 Aug 26, 2015 #4 Una umri gani?
Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,738 Reaction score 12,428 Aug 26, 2015 #5 ubadili dini kwa ajili ya demu mkiachana??? kwa staili hiyo utaburuzwa maisha
Msarendo JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 10,888 Reaction score 7,079 Aug 26, 2015 #6 hapana chezea kitu inaitwa papuchi watu wapo radhi kubadili dini
Abu_yazid JF-Expert Member Joined Mar 28, 2014 Posts 3,435 Reaction score 4,254 Aug 26, 2015 Thread starter #7 Mteule halisi said: Una umri gani? Click to expand... miaka ishirn na tatu
Loeb S Mpalasinge JF-Expert Member Joined Dec 1, 2013 Posts 1,792 Reaction score 1,748 Aug 26, 2015 #8 Kwa nini ni wewe na si yeye?
mankachara JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 6,161 Reaction score 3,495 Aug 26, 2015 #9 astaghfirullah, unatakiwa utubu maana apo ulipo umeshamkufuru allah. hukumu yako ni kuuliwa
kisanganyakiswata JF-Expert Member Joined Jan 28, 2014 Posts 1,302 Reaction score 553 Aug 26, 2015 #10 Mzushi wewe ungeujua uislam wala usingefikiria upuuzi wako sasa unatuambia sisi tukusaidie nini wakati wazazi wako hujawaambia amua upendavyo hesabu yako utaikuta
Mzushi wewe ungeujua uislam wala usingefikiria upuuzi wako sasa unatuambia sisi tukusaidie nini wakati wazazi wako hujawaambia amua upendavyo hesabu yako utaikuta
Abu_yazid JF-Expert Member Joined Mar 28, 2014 Posts 3,435 Reaction score 4,254 Aug 26, 2015 Thread starter #11 Loeb S Mpalasinge said: Kwa nini ni wewe na si yeye? Click to expand... nahtaj kuwa nae katika maisha yangu, yeye kubadili dini wazaz wake hawataki kabisa hata kidogo, ila mimi nahtaj kuwa nae katika maisha yangu
Loeb S Mpalasinge said: Kwa nini ni wewe na si yeye? Click to expand... nahtaj kuwa nae katika maisha yangu, yeye kubadili dini wazaz wake hawataki kabisa hata kidogo, ila mimi nahtaj kuwa nae katika maisha yangu
Mshamba wa kusini JF-Expert Member Joined Jun 30, 2015 Posts 2,897 Reaction score 3,706 Aug 26, 2015 #12 Abu_yazid said: miaka ishirn na tatu Click to expand... ----- we
Abu_yazid JF-Expert Member Joined Mar 28, 2014 Posts 3,435 Reaction score 4,254 Aug 26, 2015 Thread starter #13 worldboss said: ----- we Click to expand... vipi mbona umeshangaa
Abu_yazid JF-Expert Member Joined Mar 28, 2014 Posts 3,435 Reaction score 4,254 Aug 26, 2015 Thread starter #14 kisanganyakiswata said: Mzushi wewe ungeujua uislam wala usingefikiria upuuzi wako sasa unatuambia sisi tukusaidie nini wakati wazazi wako hujawaambia amua upendavyo hesabu yako utaikuta Click to expand... naomba basi unieleweshe zaid uislamu ili nisije nikajikuta nimepotea ninapotaka kwenda
kisanganyakiswata said: Mzushi wewe ungeujua uislam wala usingefikiria upuuzi wako sasa unatuambia sisi tukusaidie nini wakati wazazi wako hujawaambia amua upendavyo hesabu yako utaikuta Click to expand... naomba basi unieleweshe zaid uislamu ili nisije nikajikuta nimepotea ninapotaka kwenda
Mshamba wa kusini JF-Expert Member Joined Jun 30, 2015 Posts 2,897 Reaction score 3,706 Aug 26, 2015 #15 Abu_yazid said: vipi mbona umeshangaa Click to expand... we unasema wazazi wake hawataki, kweni wako wanataka ubadili dini?
Abu_yazid said: vipi mbona umeshangaa Click to expand... we unasema wazazi wake hawataki, kweni wako wanataka ubadili dini?
Abu_yazid JF-Expert Member Joined Mar 28, 2014 Posts 3,435 Reaction score 4,254 Aug 26, 2015 Thread starter #16 worldboss said: huna akili Click to expand... kwanini sina akili
Abu_yazid JF-Expert Member Joined Mar 28, 2014 Posts 3,435 Reaction score 4,254 Aug 26, 2015 Thread starter #17 worldboss said: we unasema wazazi wake hawataki, kweni wako wanataka ubadili dini? Click to expand... walitaka na yeye abadili dini
worldboss said: we unasema wazazi wake hawataki, kweni wako wanataka ubadili dini? Click to expand... walitaka na yeye abadili dini
Mshamba wa kusini JF-Expert Member Joined Jun 30, 2015 Posts 2,897 Reaction score 3,706 Aug 26, 2015 #18 yani ubadili dini kisa demu, tena kwa taarifa yako hugongi mzigo peke yako tupo wengi tu
Mshamba wa kusini JF-Expert Member Joined Jun 30, 2015 Posts 2,897 Reaction score 3,706 Aug 26, 2015 #19 Abu_yazid said: walitaka na yeye abadili dini Click to expand... mtoto wakiume kuwa na msimamo wewe, mkazanie binti abadili kama anakupenda atabadili tu
Abu_yazid said: walitaka na yeye abadili dini Click to expand... mtoto wakiume kuwa na msimamo wewe, mkazanie binti abadili kama anakupenda atabadili tu
Mshamba wa kusini JF-Expert Member Joined Jun 30, 2015 Posts 2,897 Reaction score 3,706 Aug 26, 2015 #20 Abu_yazid said: kwanini sina akili Click to expand... yani bado hujui kwanini huna akili? ushapewa limbwata
Abu_yazid said: kwanini sina akili Click to expand... yani bado hujui kwanini huna akili? ushapewa limbwata