Nahitaji kuanza kutumia pombe

Pombe sio suluhisho la kutoa stress....once pombe ikiisha kichwani stress zinarudi tena unless uwe unakunywa 24/7...sikushauri kuingia kwenye pombe sababu madhara ni makubwa kuliko faida kiafya na kiuchumi pia.

Kama hutataka ushauri wa kutokunywa basi mzee baba anza na smart Gin, double kiki na Kvaa hizo huitaji kunywa nyingi yaani kidogo tuu utasahau matatizo yako kwa muda.
 
Mkuu we acha tu
Asubuh nliamka kichwa ni kinauma balaa

Hiv mtu anawezaje kunywa ma serengeti 8-9-10 hayana hata sukari wala utamu
Beer inakuwa chungu kama hujazoea. Ukizoea huwa inakuwa tamu sana, kunywa beer 10+ usishangae. Maana unakunywa huku unaenda kukojoa kila baada ya muda.
 
Sure mkuu! Juzi nimetoka kumzika jamaa yangu, kaanza kula mitungi baada ya kumaliza chuo, sijui kawaje, kazidi hadi wazoefu.

Alilewa akapata ajali, kichwa kikapasuka. Tumemzika na 29Yrs. No child wala assert yoyote. It's very sad.
Poleni sana mkuu kitu cha kujifunza ukubwani kufata mkumbo hivi huwa kinaishia vibaya sanaa
 
Na pombe ikikuzidia mjomba utagongwa kota km mzinga wa konyagi
 
Ila kumbuka pombe ni kama kufunga ndoa wengine wanatamani kutoka wengine wanatamani kuingia nashukuru Mungu nilianza mapema sana ila mwisho wa siku nikagundua faida dhidi ya hasara ni 5% kwa 95% respectively, nashukuru Mola nimelijua mapema while I still got a chance
 
Funga kula kwa saa kadhaa au OMAD ila funga kwa siku tatu mfululizo kila Juma utanishukuru baadae,tofauti Na hapo ukinywa pombe umekwisha na ukivuta bangee biashara itakukata mapema
 
Kwanza ni kijana mdogo sana,na sijui kama una changamoto kiasi Cha kutaka kunywa pombe,
Na aliekudanganya pombe inaondoa stress nae itakua alidanganywa
Hapo unasogeza mbele tatizo na pengine kuongeza tatizo
Sikushauri
 
Kampuni zinazoongoza kulipa Kodi kubwa, kampuni za pombe ndio zinazoongoza huwezi kukuta kampuni ya soda au juice.
Wanywa pombe ndio wanaoongoza kuleta maendeleo nchi hii
Karibu chamani uongeze pato la taifa

i. Tanzania Breweries Ltd. (Shilingi Bilioni 422.4);

ii. Serengeti Breweries Ltd. (Shilingi Bilioni 350.6);

iii. Geita Gold Mining(Shilingi Bilioni 300.6);

iv. Tanzania Cigarette Company (Shilingi Bilioni 92.1);

v. Tanzania Distillers Ltd. (Shilingi Bilioni 88.4); na
 
Pombr

Pombe haipunguzi stress mkuu, inaongeza stress,the Devil is cheating you.Anza kumtafuta Mungu,hiyo ndio solution ya stress.Shetani kakuletea stress sasa anakupeleka kwenye tatizo lingine,be smart,stand firm,say no.
Everything is illusion πŸ˜”
 
Kwanza ni kijana mdogo sana,na sijui kama una changamoto kiasi Cha kutaka kunywa pombe,
Na aliekudanganya pombe inaondoa stress nae itakua alidanganywa
Hapo unasogeza mbele tatizo na pengine kuongeza tatizo
Sikushauri
Yaan pombe inachukiwa bila Tatizo Tatizo ni mtu mwenyewe...
 
Starehe yeyote ukienda ukianza juu ya miaka 25 iwe umalaya pombe bangi mirungi ujue ndio mwanzo wa kuharibu maisha yako starehe za ukubwani zina addicted mbaya mnoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…