Nahitaji kuanza kutumia pombe

Zipo nyingi tu;jobo, coffee sprit,jogoo,n k za buku 2 tu
 
Kunywa nyagi
Nikiwa chuo cha Misitu Omotonyi (FTI) miaka hiyoo washkaji walinitembelea chuoni weekend moja,na baadae tukaenda town kwa sister angu mmoja. Sasa tukiwa kwa sister baada ya msosi wa nguvu akaleta vinywaji (bia,konyagi, wine na soda). Katika wale washkaji zangu mmoja alikuwa njagu na hajawahi kunywa pombe kabisa. Hivyo akawa yeye anakunywa soda, na baadae akaomba aonje wine, tukamchanganyia na soda kidogo. Alivyoanza kuchangamka akaanza kupiga wine kavu na baadae sista akamuwekea na konyagi mdogo mdogo...jamaa akaanza kufakamia kwa fujo (jamaa alikuwa pande la mtu!!). Basi bwana jinsi tulivyo endelea na ulabu jamaa akazidiwa. Akasimama ili aende toilet aiseee jamaa alianguka kama gunia la viazi na ghafla akazima!! Kumbuka jamaa anakaa police quarters, hivyo sista akatafuta tax tukampeleka kwake. Ile kufika wakati tunambeba mzega mzega kumuingiza kwake mkewe kumuona akapiga bonge la kelele daaah...kabla majirani zake hawajajaa sisi tukaondoka faster kimyakimya...pombe hizi hahaaaaa
 
alcohol inaweza kuwa na kaburi lako la kupiga hatua na kuua ndoto zako

Kuna watu wapo financial stable na wanauwezo mkubwa wakulewa kuanzia Monday to Sunday Ila hawa wataathirika kiafya na sio kiuchumi.

Sasa mwenzangu think twice if you real want to be alcoholic man or not.
 
Huwezi kuficha, pombe ina harufu yake, kuna mtu mwenye uwezo wa kunasa harufu yake hata kama ukiwa umbali wa m 10.
Bado hujafanya utafiti.....bia zoteee zenye kimea masafar lager , castle, Serengeti Zina harufu..

Konyagi Kuna vitu ukichanganyia hazitoi harufu mfano ukichanganyia energy drink ya mo energy, ukwaju , embe, tangawizi, tonic water kwisha habari yake haitoi harufu kabisa.
 
Kuna walevi na wanywaji.. unakunywa kwa KIASI/ KIPIMO Tena jioni baada ya kazi.

Kama unywaji wa pombe ungekua una madhara Kama unavyo portrait hapa Basi Kama wazungu wali ABOLISHED SLAVE TRADE nakuhakikishia kua ALCOHOL INGEKUA IMESHA BE ABOLISHED zamani sanaa
 
Ooh !! OK Ila je how you can control ili usiwe mlevi

I remember way back my mama she was alcoholic na unfortunately kuna siku analewa anapoteza network na siku nyingine hapotezi network

In short hate alcohol
 
Ooh !! OK Ila je how you can control ili usiwe mlevi

I remember way back my mama she was alcoholic na unfortunately kuna siku analewa anapoteza network na siku nyingine hapotezi network

In short hate alcohol

Kunywa kidogo for recreational purpose unamwona baba wa taifa hapo anapiga mdogo mdogo.
 
Daaaah... Mkuu umeandika maneno yaliyonigusa sana...

Nilikuwa very handsome boy, descent man, smart guy lakini pombe imenivuruga sana niko mbioni kuiacha kabsa!!
 
Daaaah... Mkuu umeandika maneno yaliyonigusa sana...

Nilikuwa very handsome boy, descent man, smart guy lakini pombe imenivuruga sana niko mbioni kuiacha kabsa!!
Na ukafanikiwe nakuombea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…