Nahitaji kuagiza viatu Uturuki

mambucha

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
279
160
Kuna page Instagram nimekuwa nikivutiwa na viatu vyao lakini nikitaka kutoa order wanasema wanauza jumla na sio rejareja.

Mwenye uelewa anisaidie jinsi naweza kununua pairs chache kwa ajili ya matumizi binafsi siyo biashara.

Ahsante.

Screenshot_20230606_044925_Instagram.jpg
Screenshot_20230606_044947_Instagram.jpg
 
Kuna page Instagram nimekuwa nikivutiwa na viatu vyao lakini nikitaka kutoa order wanasema wanauza jumla na sio rejareja.

Mwenye uelewa anisaidie jinsi naweza kununua pairs chache kwa ajili ya matumizi binafsi siyo biashara.

Ahsante.

View attachment 2647406View attachment 2647407
Agiza mtu binafsi, siku hizi wabongo ni wengi wanaenda Turkiye. Vitu vyao ni quality alafu cheap! Nilinunua kiatu USD 25 rejareja ambacho huku bongo ni kuanzia 150k
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom