Habari za muda huu.
Nahitaji kuagiza simu yangu binafsi kenya, kama vile tujuavyo wanauza simu bei rahisi sana tofauti na huku kwetu. Nakuomba kama ukishawahi kufanya hivyo ukaipata simu yako unipe huyo muuzaji wako ninunue kwake nisijetapeliwa, kuna wauzaji wa insta niliwaona ndio wakaniimpress kufanya hivyo account inaitwa @mobilehubkenya.
Nitashukuru kama nitapata jibu la kujenga na sio kejeli
Asanteni
Asante sana ndugu maana nilishawishika sana at last nikawaza ngoja niulize hapa..Usijaribu hao ni matapeli tena wana accouts kama 20 hivi Instagram na wanalipia insta ads kabisa. Utakatwa kichwa kama kuku. Wanaweka mpaka iphone x mass 256, ear pod na Apple Watch️ kwa sijui tsh2m , ugx sijui ngap na ksh kadhaaa .. usijaribu kabisa ni scammer 100% nimechezea nao mpaka wakakimbia .. angalia **** uzi hata mimi niliuliza cheki utauona
Hapo unapoishi hakuna maduka ya simu?Yaani unataka kuagiza simu Kenya as if unanunua gari,Peleka iyo pesa Kwa Watanzania wenzako nao wapate riziki kupitia wewe.Asante sana ndugu maana nilishawishika sana at last nikawaza ngoja niulize hapa..
Labda kuna simu zinatengenezwa Kenya na zikija Tz bei inakua kubwa sanaHapo unapoishi hakuna maduka ya simu?Yaani unataka kuagiza simu Kenya as if unanunua gari,Peleka iyo pesa Kwa Watanzania wenzako nao wapate riziki kupitia wewe.
Habari za muda huu.
Nahitaji kuagiza simu yangu binafsi kenya, kama vile tujuavyo wanauza simu bei rahisi sana tofauti na huku kwetu.
Nakuomba kama ukishawahi kufanya hivyo ukaipata simu yako unipe huyo muuzaji wako ninunue kwake nisijetapeliwa, kuna wauzaji wa insta niliwaona ndio wakaniimpress kufanya hivyo account inaitwa @mobilehubkenya.
Nitashukuru kama nitapata jibu la kujenga na sio kejeli
Asanteni
Labda kuna simu zinatengenezwa Kenya na zikija Tz bei inakua kubwa sana
Habari za muda huu.
Nahitaji kuagiza simu yangu binafsi kenya, kama vile tujuavyo wanauza simu bei rahisi sana tofauti na huku kwetu.
Nakuomba kama ukishawahi kufanya hivyo ukaipata simu yako unipe huyo muuzaji wako ninunue kwake nisijetapeliwa, kuna wauzaji wa insta niliwaona ndio wakaniimpress kufanya hivyo account inaitwa @mobilehubkenya.
Nitashukuru kama nitapata jibu la kujenga na sio kejeli
Asanteni
Inategemeana na unaye fanya naye biashara, binafisi nimefanya biashara nyingi sana na Wakenta na hatujawahi onana.
Uki pima rate ya ya uamiifu basi Wakenya wanatuzidi sisi.
Kikubwa ni kuchukua tahadhari tu, na kama una ndugu Kenya anaweza kwenda kukuchukulia akakutumia,