Nahitaji kuagiza simu online Kenya kama ulishawahi nipe connection

Meljons

JF-Expert Member
Jun 25, 2012
2,841
2,000
Habari za muda huu.

Nahitaji kuagiza simu yangu binafsi kenya, kama vile tujuavyo wanauza simu bei rahisi sana tofauti na huku kwetu.

Nakuomba kama ukishawahi kufanya hivyo ukaipata simu yako unipe huyo muuzaji wako ninunue kwake nisijetapeliwa, kuna wauzaji wa insta niliwaona ndio wakaniimpress kufanya hivyo account inaitwa @mobilehubkenya.

Nitashukuru kama nitapata jibu la kujenga na sio kejeli
Asanteni
 
Bakulutu

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
2,381
2,000
Habari za muda huu.
Nahitaji kuagiza simu yangu binafsi kenya, kama vile tujuavyo wanauza simu bei rahisi sana tofauti na huku kwetu. Nakuomba kama ukishawahi kufanya hivyo ukaipata simu yako unipe huyo muuzaji wako ninunue kwake nisijetapeliwa, kuna wauzaji wa insta niliwaona ndio wakaniimpress kufanya hivyo account inaitwa @mobilehubkenya.
Nitashukuru kama nitapata jibu la kujenga na sio kejeli
Asanteni
Usijaribu hao ni matapeli tena wana accouts kama 20 hivi Instagram na wanalipia insta ads kabisa. Utakatwa kichwa kama kuku. Wanaweka mpaka iphone x mass 256, ear pod na Apple Watch ️ kwa sijui tsh2m , ugx sijui ngap na ksh kadhaaa ..

Usijaribu kabisa ni scammer 100% nimechezea nao mpaka wakakimbia .. angalia **** uzi hata mimi niliuliza cheki utauona
 
Meljons

JF-Expert Member
Jun 25, 2012
2,841
2,000
Usijaribu hao ni matapeli tena wana accouts kama 20 hivi Instagram na wanalipia insta ads kabisa. Utakatwa kichwa kama kuku. Wanaweka mpaka iphone x mass 256, ear pod na Apple Watch ️ kwa sijui tsh2m , ugx sijui ngap na ksh kadhaaa .. usijaribu kabisa ni scammer 100% nimechezea nao mpaka wakakimbia .. angalia **** uzi hata mimi niliuliza cheki utauona
Asante sana ndugu maana nilishawishika sana at last nikawaza ngoja niulize hapa..
 
Super AMOLED

Member
Jan 18, 2020
94
150
Hapo unapoishi hakuna maduka ya simu?Yaani unataka kuagiza simu Kenya as if unanunua gari,Peleka iyo pesa Kwa Watanzania wenzako nao wapate riziki kupitia wewe.
Labda kuna simu zinatengenezwa Kenya na zikija Tz bei inakua kubwa sana
 
CHASHA FARMING

Verified Member
Jun 4, 2011
6,936
2,000
Inategemeana na unaye fanya naye biashara, binafisi nimefanya biashara nyingi sana na Wakenta na hatujawahi onana.

Uki pima rate ya ya uamiifu basi Wakenya wanatuzidi sisi.

Kikubwa ni kuchukua tahadhari tu, na kama una ndugu Kenya anaweza kwenda kukuchukulia akakutumia,
Habari za muda huu.

Nahitaji kuagiza simu yangu binafsi kenya, kama vile tujuavyo wanauza simu bei rahisi sana tofauti na huku kwetu.

Nakuomba kama ukishawahi kufanya hivyo ukaipata simu yako unipe huyo muuzaji wako ninunue kwake nisijetapeliwa, kuna wauzaji wa insta niliwaona ndio wakaniimpress kufanya hivyo account inaitwa @mobilehubkenya.

Nitashukuru kama nitapata jibu la kujenga na sio kejeli
Asanteni
 
CHASHA FARMING

Verified Member
Jun 4, 2011
6,936
2,000
Wafanya baishara wengi wanachukua simu Nairobi, mfano Arusha simu zote ziwe Used au New zinachukuliwa Nairobi, Sana simu Used zinazo toka nje kituo chao kikuu i Nairobi. Kule kuna machimbo ya simu bei nafuu sana
Labda kuna simu zinatengenezwa Kenya na zikija Tz bei inakua kubwa sana
 
Rostema

JF-Expert Member
Nov 27, 2018
2,734
2,000
Wakenya na wanaijeria wanafanana ni matapeli kuwa makini sana.
Habari za muda huu.

Nahitaji kuagiza simu yangu binafsi kenya, kama vile tujuavyo wanauza simu bei rahisi sana tofauti na huku kwetu.

Nakuomba kama ukishawahi kufanya hivyo ukaipata simu yako unipe huyo muuzaji wako ninunue kwake nisijetapeliwa, kuna wauzaji wa insta niliwaona ndio wakaniimpress kufanya hivyo account inaitwa @mobilehubkenya.

Nitashukuru kama nitapata jibu la kujenga na sio kejeli
Asanteni
 
Meljons

JF-Expert Member
Jun 25, 2012
2,841
2,000
Shukrani huu nao ni ushauri mzuri sana
Inategemeana na unaye fanya naye biashara, binafisi nimefanya biashara nyingi sana na Wakenta na hatujawahi onana.

Uki pima rate ya ya uamiifu basi Wakenya wanatuzidi sisi.

Kikubwa ni kuchukua tahadhari tu, na kama una ndugu Kenya anaweza kwenda kukuchukulia akakutumia,
 
isma isma

JF-Expert Member
Oct 2, 2015
567
500
Mie walivyoniambia nitume pesa kwanza ndiyo mzigo uje dsm hapo ndipo tulipo shindwana nikaona kabisa hizi ni dalili za kupigwa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom