Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,759
Wanandugu poleni na majukumu na tunashukuru mungu hatujatumbuliwa vibarua vyetu.kwanza nishukuru kwa mchango wenu wa mawazo mazuri kuhusu kununua Korosho debe moja kwa matumizi ya nyumba. Nimepitia comments zenu zote nimeona ninunue gunia mbili ambazo hazijatolewa maganda yake , kama wachangiaje walivyosema kg ni 2500 ,naomba kama kuna mtu yuko mtwara au sehemu zinazopatikana naomba msaada please. UMUHIMU WA HII KITU KWA MWILI WA BINADAMU NI MAKUBWA SANA SANA .INA PROTEIN NYINGI SANA SANA .UKILA PUNJE 6 TUU NI SAWA NA UMEKULA NYAMA YA KITI MOTO NUSU KILA AU NYAMA YA NG'OMBE KILO 1 ,NA UNAJUA NYAMA YA NGOMBE YA KUCHOMA INAKAA TUMBONI SIKU 8 NDIO INATOKA KWA NJE .
ASANTE SANA WANANDUGU ,
ASANTE SANA WANANDUGU ,