Nahitaji Korosho from Mtwara.

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,111
2,759
Wanandugu poleni na majukumu na tunashukuru mungu hatujatumbuliwa vibarua vyetu.kwanza nishukuru kwa mchango wenu wa mawazo mazuri kuhusu kununua Korosho debe moja kwa matumizi ya nyumba. Nimepitia comments zenu zote nimeona ninunue gunia mbili ambazo hazijatolewa maganda yake , kama wachangiaje walivyosema kg ni 2500 ,naomba kama kuna mtu yuko mtwara au sehemu zinazopatikana naomba msaada please. UMUHIMU WA HII KITU KWA MWILI WA BINADAMU NI MAKUBWA SANA SANA .INA PROTEIN NYINGI SANA SANA .UKILA PUNJE 6 TUU NI SAWA NA UMEKULA NYAMA YA KITI MOTO NUSU KILA AU NYAMA YA NG'OMBE KILO 1 ,NA UNAJUA NYAMA YA NGOMBE YA KUCHOMA INAKAA TUMBONI SIKU 8 NDIO INATOKA KWA NJE .
ASANTE SANA WANANDUGU ,
 
Mkuu kilo ya korosho mbichi/zenye maganda kwa sasa ni 3900_4000, kwa bei hiyo labda ni wakati ule ambao ununuzi rasmi ungekuwa haujaanza.
 
Mkuu kilo ya korosho mbichi/zenye maganda kwa sasa ni 3900_4000, kwa bei hiyo labda ni wakati ule ambao ununuzi rasmi ungekuwa haujaanza.
OK hamna shida kabisa boss nitapataje hiyo kitu mkuu wangu .kilo ngapi inaingia kwa gunia mkuu .
 
OK hamna shida kabisa boss nitapataje hiyo kitu mkuu wangu .kilo ngapi inaingia kwa gunia mkuu .
Mkuu kama nilivyosema hapo juu, kwa korosho mbichi kwa sasa zinauzwa kwa mnada na ni manunuzi ya mzigo mkubwa kwa tani nyingi sio kama hizo za matumizi ya nyumbani.
 
Hata kwa hyo bei unapata...sema umechelewa kidogo lakini nadhani unapata...ukitaka kununua hvyo tafuta mwenyeji akisaidie maana hairuhusiwi kufanya hvyo...lakini unazonunua hvyo ukizibangua haziwi nzuri mpaka uchambue zile kubwa kubwa chache....inaelekea unauhitaji sana nilkwambia bei 25k per kg...toa ofa yako nione kama inalipa nitakuuzia kg 11 tu
DSC_0265.JPG
DSC_0266.JPG
 
Back
Top Bottom