Nahitaji kompyuta kwa ajili ya video production

Cunch

Senior Member
Joined
Apr 19, 2014
Posts
162
Reaction score
142
Habari wana Jamiiforums, nahitaji kufaham ni aina gani ya computer yenye uwezo mkubwa wa ram,graphic card na gpu na specificaions nyinginezo ambayo nitaitumia kwa ajili ya video editing na 3d creations kwa kutumia adobe softwares.natanguliza shukran kwenu.
 
Habari wana jf,nahitaji kufaham ni aina gani ya computer yenye uwezo mkubwa wa ram,graphic card na gpu na specificaions nyinginezo ambayo nitaitumia kwa ajili ya video editing na 3d creations kwa kutumia adobe softwares.natanguliza shukran kwenu.

Nunua dell xps15, au imac, au mac book pro ya yenye core i7
 
dell xps15, na mac book pro btn tshs 1.5-2.5 mils, imac cjui mkuu.
 
Habari wana Jamiiforums, nahitaji kufaham ni aina gani ya computer yenye uwezo mkubwa wa ram,graphic card na gpu na specificaions nyinginezo ambayo nitaitumia kwa ajili ya video editing na 3d creations kwa kutumia adobe softwares.natanguliza shukran kwenu.

Desktop au Laptop?
 
Hii inategemea na bajeti yako. Kama unataka kufanya video Multi-Media utalazimika kupata kompyuta kubwa ku uwezo. iMac nchi 27 hata ukipata Core i5 ya processor kuanzia 2.3Ghz na ka internal Disc ka walau 1Tera unawza kuipata dukani kwa Mil 2.7 na kuendelea. Mtumbani unawza kupata kwa bei ya kupoa kidogo. Ila ukipata iiMac au Macbook Pro utafanya kazi zako kwa utahisi sana. Kazi na Graphics. Na Multimedia zinacost sana kwenye vifaa
 
Nunua HP Z820 haita kuchelewesha kwenye rendering... ina processors 2 - intel xenon na RAM yake inauwezo wa kufika mpaka "256GB"... from vendors wengi utaipata kuanzia 4GB to 16GB.. kwuanzia $1999.00
 
Hii inategemea na bajeti yako. Kama unataka kufanya video Multi-Media utalazimika kupata kompyuta kubwa ku uwezo. iMac nchi 27 hata ukipata Core i5 ya processor kuanzia 2.3Ghz na ka internal Disc ka walau 1Tera unawza kuipata dukani kwa Mil 2.7 na kuendelea. Mtumbani unawza kupata kwa bei ya kupoa kidogo. Ila ukipata iiMac au Macbook Pro utafanya kazi zako kwa utahisi sana. Kazi na Graphics. Na Multimedia zinacost sana kwenye vifaa

Nashukuru sana nkuu nitajitahid kwani nahtaji kuwa efficient zaid hvyo ntafumba macho upand wa gharama.
 
Wasikutishe. Nunua computer yoyote ya kawaida,weka window 7 au 8 .itenge mara mbili Operating system ibaki na kama 150GB na D ibaki na kama 300 GB,file zote weka D, tumia program ambazo si za mac pekee,fanya production zako. D ikiwa injaa unafuta au kuifadhi katika external disk nk. Anzia hapo ,ukipata faida zitokanazo na kazi hiyo ndiyo ununue za MAC nk.

Watu wengi bongo wanaofanya editing na production hawatumii mac computer wala hakuna uhusiano wowote kama ubora wa kazi nzuri unafanywa na computer za mac au window. kikubwa na ujuzi katika suala la upigaji picha tu
 
Nashukuru mkuu bt computer za kawaida nyingi zna gpu ndogo ambazo znapoteza quality ya video wakat wa rendering.bt ntafatilia, ahsante.
 
angalia vitu hivi sana
-intel i7/i5
-dedicated gpu
-ram kubwa
-ssd kwanza hdd ukikosa ssd
-kioo kikubwa

nimeona laptop moja tu chini ya dola 1000 yenye specs zako

Toshiba Satellite S70-AST3GX
Toshiba-Satellite-S70-AST3GX-300x218.jpg

hii brief specification ni
- Intel i7-4700MQ Up to 3.40GHz with Intel® Turbo Boost Technology 2.0
-ram 12 gb
-gpu ni NVIDIA® GeForce® GT 740M
-hdd ni 1tb
-kioo kikubwa 17.3 inch
kwa bei around dola 900 ni very cheap

pia nikushauri kitu kaka, laptop kwenye video editing ni luxury, ni ngumu kupata laptop ambayo ni capable kwa bei rahisi ila ukimtafuta mtu humu humu jf anaweza akakutengenezea desktop nzuri kwa bei rahisi ambayo itakuwa na specs zako zote za kutosha utapata mashine ya maana.
 
Nina uzoefu na suala la video production. quality ya video inategemea we una render kwa which format siyo suala la kutumia window au mac . kuna vitu vingi based on quality ya picha kabla ya kuigizwa katika computer na software unazotumia kuedit.

tatizo kubwa ni kwamba window inachelewa katika kurender wakati mac zinawahi basi
 
Mkuu tumia imac utapata quality unayoitaka na haisumbui kabisa kuanzia photo production na video productions, mawindows haya yanasumbua sana utakuta mashine ina uwezo mkubwa sana lakini inachelewa kuload files hasa kwenye masuala ua editing ndio kabisa

Sent from my iPhone 4S using JamiiForums
 
angalia vitu hivi sana
-intel i7/i5
-dedicated gpu
-ram kubwa
-ssd kwanza hdd ukikosa ssd
-kioo kikubwa

nimeona laptop moja tu chini ya dola 1000 yenye specs zako

Toshiba Satellite S70-AST3GX
Toshiba-Satellite-S70-AST3GX-300x218.jpg

hii brief specification ni
- Intel i7-4700MQ Up to 3.40GHz with Intel® Turbo Boost Technology 2.0
-ram 12 gb
-gpu ni NVIDIA® GeForce® GT 740M
-hdd ni 1tb
-kioo kikubwa 17.3 inch
kwa bei around dola 900 ni very cheap

pia nikushauri kitu kaka, laptop kwenye video editing ni luxury, ni ngumu kupata laptop ambayo ni capable kwa bei rahisi ila ukimtafuta mtu humu humu jf anaweza akakutengenezea desktop nzuri kwa bei rahisi ambayo itakuwa na specs zako zote za kutosha utapata mashine ya maana.

Thanks a lot nitaifatilia hii kwa kuanzia co mbaya.
 
Back
Top Bottom