Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,054
- 4,115
naomba kwa anaejua ukulima wa uyoga nahitaji msaada kwa hili
natamani sana ukulima wa zao la uyoga napenda iwe ajira yangu kupitia uyoga sababu huku nakotoka vijana wamejikita zaidi kwa ufugaji na ukulima wa nazao mengine
chanzo cha kukipenda kilimo hichi ni uchache wa watu wanaojishuhulisha na hichi kilimo
nimejaribu sijafanikiwa
nimejaribu kupitia makala mbalimbali nikajaribu kulima kwa kiasi kidogo pia makala zingine zikaniongoza hadi kuandaa mbegu sijui nilichokosea nahitaji kwa anaefahamu hichi anipe elimu na mimi iweze kunisaidia