Nahitaji King'amuzi

Nahitaji King'amuzi

TandaleOne

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2010
Posts
1,644
Reaction score
709
Natafuta king'amuzi cha kuweza kutambua:
1.Tofauti ya ukabila na uraia.
2.Vyama vya siasa na vyama vya upinzani.
3.Mtuhumiwa na mkosaji.
4.Hali halisi na uzushi.
5.Rafiki na adui.
6.Kuropoka na kueleza.

Haya yanachanganya kidogo.

Heeee..............what next after utafiti?
 
Natafuta king'amuzi cha kuweza kutambua:
1.Tofauti ya ukabila na uraia.
2.Vyama vya siasa na vyama vya upinzani.
3.Mtuhumiwa na mkosaji.
4.Hali halisi na uzushi.
5.Rafiki na adui.
6.Kuropoka na kueleza.

Haya yanachanganya kidogo.

Ongeza:

7. Tuhuma na matusi
 
pELEKA jUKWAA LA LUGHA MKUU, KULE UTAPATA MAJIBU SAHIHI.
 
Hii siyo breaking news, please peleka kwenye jukwaa linalohusika..kuna jukwaa sahihi la lugha.
 
Sometime sielewi kwanini mods hapa wanakuwa wepesi kuhamisha mada muhimu huku mada za kilevi kama hii ikiendelea kujaza nafasi hapa.Huyu TandaleOne amekumbwa na mdadi wa ku-flood topic za ajabu ajabu,pengine kwa maelekezo ya waliomtuma ajiunge na JF,pengine ni attention seeker,au tunapotezwa malengo.

Invisible upo?
 
Unajua tofauti ya matusi na tuhuma???Nauliza kitu cha msingi hapa.Ila umeamua usione.Hivi mbona unahitaji tafakari ndogo tu kujua namaanisha nini hapa??Well,I hope walipata kulelewa wameelewa.
Karibu Tandale.One more thing,hivi siku hizi kila anayeongea huwa katumwa???
 
Back
Top Bottom