Nahitaji King'amuzi

Nahitaji King'amuzi

Sometime sielewi kwanini mods hapa wanakuwa wepesi kuhamisha mada muhimu huku mada za kilevi kama hii ikiendelea kujaza nafasi hapa.Huyu TandaleOne amekumbwa na mdadi wa ku-flood topic za ajabu ajabu,pengine kwa maelekezo ya waliomtuma ajiunge na JF,pengine ni attention seeker,au tunapotezwa malengo.

Invisible upo?

7.A concubine and a wife.
8.A multiparty system and a drama.
 
Muulize makamba, anajua sana ushairi na mipasho
 
Fisadi pandikizi yuko kazini kuvuruga hali ya hewa jamii kwa kutuma zaidi ya jumbe 50 kwa siku.

No,watu kama wewe ndo mnafanya nakuwa na posts nyingi.Angalia sasa nakujibu na umeandika pumba.
 
Back
Top Bottom