Zacht
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 1,009
- 2,197
Poleni na majukumu wakuu na habari zenu
Kabla kusomea course ambayo nimesoma saiz nilitamani Sana kuwa director wa movie kitu ambacho kipo moyoni.
Kilochoshindikana Mimi kusoma ni ndugu zangu wakanisema Sana kwamba unasoma vitu havina maana inatakiwa nisome kitu ambacho kipo sokoni, sikuwa na jinsi zaidi kukubali maana wao ndio watoa ada.
Sasa nimepata wazo la kujifunza hii taaluma hata kama sitaweza kutimiza kutimiza ndoto ya kuwa director lkn at least niwe na idea nayo maana hii Dunia inabidi uwe na fani zaidi ya moja.
Kuna software inaitwa blender hii imenivutia Sana natamani niijue,pia kucheza na green screen na VFX Sasa wakuu naomba mnipe A,B,C zake nianze wapi.
Asante