Nahitaji kifaa cha kusaga kitunguu swaumu

mamii89

Member
Dec 21, 2016
13
0
Naomba kuuliza humu ndani kuna mtu anauza kile kifaa chakusagia kitunguu swaumu na tangawizi? Pls msaada kwa anayejua call 0755661541
 
hata blenda inasaga tu fresh halafu vitunguu swaumu sio lazima kumenya maganda yake
mapishi ni art tu hayana formula bora msosi utoke mtamu
 
Back
Top Bottom