Nahitaji kifaa cha kisasa cha music

Nahitaji kifaa cha kisasa cha music

Risk manager

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
8,803
Reaction score
17,414
Nahitaji kifaa cha music cha kisasa kabisa ila sikijui ni kipi. Naamini hapa wapo wanaojua, ambacho unaweza kuunganjsha kwa PC, simu na TV, pia inakubali all media player kama mp3 sijui mpeg zote, ukiweka CD, card, USB, nikiunga kwa simu inatafuna bila kubagua kuwa IPO mp3, 4, 8 yaani inatafuna tu haibagui na volume iwe inakupa aina zote unayotaka kama laini, Kali,.

Please msaada kwa watalaamu wa mambo haya.bajeti yangu ni 100Usd

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabongo bhana
Sasa ungesema fedha kwa shilingi ya Tanzania ungeonekana mshamba au[emoji23][emoji23]

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
 
Wabongo bhana
Sasa ungesema fedha kwa shilingi ya Tanzania ungeonekana mshamba au[emoji23][emoji23]

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
Vipi mkuu umeshindwa kuielewa ni sh ngapi ikabidi kwanza uzame kwa kamusi.da pole sana ila zote ni majina ya hela so naweza ita nitakavyo hunipangii wewe najipangia mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi mkuu umeshindwa kuielewa ni sh ngapi ikabidi kwanza uzame kwa kamusi.da pole sana ila zote ni majina ya hela so naweza ita nitakavyo hunipangii wewe najipangia mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sio limbukeni mkuu, yanini nihangaike kuita dollar ilihali natafuta kununua redio hapa hapa bongo?

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
 
Back
Top Bottom