tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 12,073 Reaction score 16,631 Apr 19, 2016 #21 Jihan said: Nimeona nafasi za kujitolea mkuu,japo vigezo ninavyo lakini siwezi kujiunga na jeshi. Asante. Click to expand... basi wewe huna shida na kazi,wacha kusumbua watu humu.
Jihan said: Nimeona nafasi za kujitolea mkuu,japo vigezo ninavyo lakini siwezi kujiunga na jeshi. Asante. Click to expand... basi wewe huna shida na kazi,wacha kusumbua watu humu.
Jihan Senior Member Joined Jul 11, 2015 Posts 146 Reaction score 68 Apr 19, 2016 Thread starter #22 tang'ana said: basi wewe huna shida na kazi,wacha kusumbua watu humu. Click to expand... Kwani jeshi ndio kazi pekee?Hata kama sipendi jeshi ndio niende kisa tu nina shida ya kazi? Halafu sijasumbua mtu humu,ni hiyari ya mtu kunisaidia. Asante.
tang'ana said: basi wewe huna shida na kazi,wacha kusumbua watu humu. Click to expand... Kwani jeshi ndio kazi pekee?Hata kama sipendi jeshi ndio niende kisa tu nina shida ya kazi? Halafu sijasumbua mtu humu,ni hiyari ya mtu kunisaidia. Asante.