Nahitaji kampuni ya clearing and forwarding initolee gari langu bandarini

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
8,267
Reaction score
8,569
wakuu mambo vipi?
jamani nimeagiza gari aina ya Rav 4 sasa nilikuwa nataka msaada wa kampuni bora ya clearing ambayo wataweza kunitolea Gari langu bandarini... Kuna kampuni niliwahi kuitumia before iko pale kariakoo ila sah ilinitesa sana mpaka nikalipa na storage sasa naomba tupeane uzoefu ili niweze kupata kampuni bora
 
wasilana na KANYOTE COMPANY,jamaa wako vizuri na wanajua sana kutoa ushirikiano ktk kila hatua...wala hautapa stress yeyote na pia fee yao ni ndogo sana..mpigie mkurugenzi kwa namba hizi 0715311655 na 0754311655.
 
Thank you so much
 
wakuu mambo vipi?
jamani nimeagiza gari aina ya Rav 4 sasa nilikuwa nataka msaada wa kampuni bora ya clearing ambayo wataweza kunitolea Gari langu bandarini... Kuna kampuni niliwahi kuitumia before iko pale kariakoo ila sah ilinitesa sana mpaka nikalipa na storage sasa naomba tupeane uzoefu ili niweze kupata kampuni bora
kasasu investment wako fasta makini na gharama zao safi wachek hapa 0715124254
 
wakuu mambo vipi?
jamani nimeagiza gari aina ya Rav 4 sasa nilikuwa nataka msaada wa kampuni bora ya clearing ambayo wataweza kunitolea Gari langu bandarini... Kuna kampuni niliwahi kuitumia before iko pale kariakoo ila sah ilinitesa sana mpaka nikalipa na storage sasa naomba tupeane uzoefu ili niweze kupata kampuni bora
LOG.jpg
 
WASILIANA NA 0717375168
 
Switch trade Limited
Prosper Joseph Massawe.
Co.architecture building.
Ist floor.
Uhuru street.
Dar es salaam , Tanzania.
Mob / App +255 654 646 092
 
Mkuu hp4510 tafadhali nijulishe hiyo RAV 4 ni ya mwaka gani na ina cc ngapi, ntakutumia quotation ya kodi na gharama zote bure. Ukipenda nitakuelekeza ofisini.
Karibu sana.
 
wakuu mambo vipi?
jamani nimeagiza gari aina ya Rav 4 sasa nilikuwa nataka msaada wa kampuni bora ya clearing ambayo wataweza kunitolea Gari langu bandarini... Kuna kampuni niliwahi kuitumia before iko pale kariakoo ila sah ilinitesa sana mpaka nikalipa na storage sasa naomba tupeane uzoefu ili niweze kupata kampuni bora

Niliwahi pata royal service kutoka kwa huyu jamaa. He is very friendly, fast, efficient and effective katika kutoa huduma zake. Naku-guarantee, you will never regret.

Namba yake ni 0715818844
 
Nipe kazi hiyo nikutolee gari yako,Nipo na MAS na FARION ICD,Nipigie 0713800880.
 
Ninawezaje kujua kama gharama nilizopewa na Clearing agent za Port Charges, Warfage na Shipping line ni sahihi au zimekuzwa? Mfano mtu ameagiza Suzuri Carry, gharama tajwa hapo juu zitakuwaje?.(Nadhani huwa katika Usd)

Mwenye uelewa naomba anieleweshe tafadhali.

Ahsante
 
Back
Top Bottom