Nahitaji kadi maalum VVIP ya kataa ndoa, nimechoka

Nahitaji kadi maalum VVIP ya kataa ndoa, nimechoka

upendo daima uta kugharimu kitu na ukiwa ni upendo wa kweli lazima utakugharimu kitu uta kugharimu muda juhudi utakugharimu kutokuwa na kiburi ili umuache mtu mwingine hajione yupo sahihi ilihali unajua yeye alikukosea


joyce meyer
noted
 
Mkuu hili liwe aomo kqako na wanaumw qote.

Mwanamke anaondoka siku 5 hautoi taarifa hata polisi ni kujitakia kesi ya kubambikizwa.

Pili wewe kubali yaishe, achana naye na ikiwezekana hama kabisaa huo mji. Nduguzo piga marufuku kukutembelea kwa sababu ni maadui zako namba mbili.

Jambo la tatu, hata alie machozi ya kumeta meta usirudi kwake.


Tafuta hela. Saka pesa yaani pambania maokoto usiwaze maujinga ya huyo shori
polis nilitoa taarifa wakataka niende kata
mtendaji akagoma kuandika barua
na ni mtu ambaye amekuwa upande wake toka awali
 
Swali je wataki unamuowa ulikuwa ushajenga??

Hapa mjini pesa ndio kila kitu chukua hati ya nyumba badilisha jina, andika hivi,

Mfano mm juma husi matola nimenunua kiwanja kutoka kwa ndugu haji musa ngalawa, kwa shilingi fulani, hili jina la mmiliki tafuta mtu ambae kwanza awe na uwezo pili awe mbali na eneo hilo tatu mpange kabisa afahamu,, alafu pale chini ya hati utaandika hivi sahihi ya manunuzi imewekwa na mm hapo unaandika jina lako kwa niaba ya fulani ambae mwenye kiwanja ambae hakuwepo siku ya manunuzi, ukifanya hivi nyumba itaonekana ni mali ya mtu mwingine ambae sio ww kwa maana nyumba haitakuwapo kwenye mgawanyo wa mali, kingine kama una vibiasha vidogo vidogo tafuta namna ya kubadilisha umiliki kabla mambo hayajakuwa mengi, mwisho sema mm bado ninampenda mke wangu ninaomba arudi nyimbani tuendelee na maisha kama yeye ameamua kuondoka aniandikie talaka yangu,
nyumba kaikuta kaka
 
Haya mambo ya kugawana mali ndo chanzo cha ndoa nyingi sana kuvunjika siku izi...

Yaaani upo na mtu ndani unapambana Kwa hali na mali,hupati usingizi kichwa kinawaza mpaka kinakaribia kupasuka ili u angalau uwe na familia yenye maisha bora kumbe mwenzio anakuplania,anakuchora tu unavohangaika anasubiri zijae jae alianzishe mgawane apite ivi.
 
Habari za jioni ndugu waumini wa kataa ndoa
leo naleta kisa changu

nivumiliwe ishu ya uandishi


mimi ni kijana umri 34 nilibahatika kupata mwenzangu ambaye pia alikuwa mwajiliwa mimi nikiwa mfanya biashara mwaka 2017 akiwa ndo ajira mpya nikashoboka na mtoto kikaumana maisha yakanza

tumeishi katika mahusiano ya mbali kama km 40 mpaka mwaka 2018 akahamia kituo cha karibu km 25
maisha yakaendelea akapata mimba 2019 ambapo pia alifanikiwa kuhamia nilipo kabisa ambapo tayar nilikuwa nimeshajenga nyumba na kuhamia kwangu kutoka kuwa mpangaji
maisha yakaendelea mimba ya kwanza ikaharibika mapambano yakaendelea

mtoto wa kwanza kiume tukapata akafaitiwa na wa kike ambaye ndio wa mwisho

kipindi chote hicho uchumi wangu ulikuwa kwenye pick sana
maokoto ilikuwa yakutosha


shetani huingia katikati ya safari ghafla mwaka 2022 nikashitakiwa baraza la kata
nikaitwa nakuta amejaza fomu tuachane

nikakubali nikasain bila kuwaza

ile kitu ilimshtua sana mwenzangu na watu wa baraza
palepale manake alimpigia simu mama yake mzazi
kuwa amesain hata bila kusoma

baraza likaamuru jambo liende mbele ambapo ni mahakamani


nikaitwa mi na yeye
hakimu baada ya kusikiliza maelezo ya mwanamke akatupilia mbali shauri mwanamke akashindwa

baada ya hapo akarudi home analia na kuomba msamaha, baada ya muda nikasemehe maisha yakaendelea

ila nilimwambia saiv unaomba msamaha kwa kuwa jambo lako limefel
na alikiri kuwa mshaur wake mbaya ni mama yake mzazi, nilimuuliza mara mbili tatu unauhakika? akajibu ndio nikaona basi kwakuwa amekiri
nikurudishe nyuma kidogo msomaji

tuhuma alizo toa ilikuwa kwamba sihudumii familia hivyo nimpe taraka
tugawane mali

ikapita hiyo

tuendelee


amani ikarejea kama mwanzo utulivu wa kutosha

sekeseke likanza upya ghafla mwaka huu January

ilianza tu nikimuingelesha haongei
nikimtuma kitu haendi

ghafla akasema anaenda mahakamani
nikajibu sawa

mahakama ya mwanzo kata nayoishi kule akagomewa
akaenda ofisi ya kata nikaitwa nikaenda

nikapewa mashtaka ya sihudumii familia
nikayakana nikaeleza ukweli
na ukweli ni kwamba mimi ndo nanunua vyakula na kuprovide mahitaji yote ya nyumbani
mke wangu hata namba za luku hazijui

lakin mtendaji alionekana kubase kwa mwanamke
hivyo baadaye nikamua kuondoka


siku ikafata nikaitwa polis
akaleleza nikaeleza
polis wakamshauri haya mambo mngekaa tu chini maana hakuna ishu ya maana
hapa na imeshindwa kujibu maswali aliyokuuliza
vyakula mnavyokula nani anatoa pesa?
hujajibu

so polis wakampitezea

wakati haya yote yanaendelea
kashatoa taarifa nyumbani kwetu na kwao
na kunichafua sana na akaaminika sana

mwenzangu ana wazazi wote wawili
mi wote wawili walishatangulia mbele za haki
baba toka 2002 mama amefariki nikiwa chuo mwaka 2014


lakin nimeishi sana kwa ndugu
katika hili wote walikuwa uapnde wake
ila nikaza sana na msimamo wangu

ok

ikatokea ghafla akaondoka nyumban siku 5 bila kuaga
narud nakuta hayupo na simu hapatikani

muda huo tayar nishagombana na ndugu zangu kuhusu kusikiliza upande mmoja
hili lilienda sanjar na kwa wazazi wake
kuwapanga vya uongo

siku amerudi kafikia kwa jirani yangu na sio nyumban
sikuona haja ya kumfatilia nikajua tayar huyu sio wangu

huku na huki akatorosha watoto kupeleka kwao ngara huko
karudi kafungua kesi
leo imesomwa nikasomewa mashtaka

dai lake
sihudumii familia
nimemfukuza
namnyanyasa

haya yote nikayakataa kwakuwa sio kweli
kibaya sana nyuma yake kuna kundi la watu wanamjaza sana upepo Hakim amemtaka jumatano afike na mashahid wake
lengo au hitaji lake ni taraka na mgawanyo wa mali

nimelia sana wiki hii mpaka basi kila nikiwaza lakini
sijui mwisho wangu
na isitoshe kwa sasa pia uchumi wangu umeshake kwa kiasi flani

nasunir kuwaona mashahid siku husika
sijajua nini kitatokea
ila Mungu asimame kwenye haki

naivhukia sana ndo kwa kweli

japo sikuwahi funga naye kupata chet ila zile kimila tu manake mpaka mali nilitoa

nakataa ndoa
nakataa ndoa
nakataa ndoa

asanten
Wewe ni mpumbavu pia unaonekana ni goi goi.

Si ajabu hata hao watoto si wako.

Umefanya kosa kubwa sana kumleta tena kwenye maisha yako wakati unajua ana nia mbaya ya kukurudisha nyuma kiuchumi.

Pambana na hali yako na bila shaka atakuzidi tena akili.
 
Haya mambo ya kugawana mali ndo chanzo cha ndoa nyingi sana kuvunjika siku izi...

Yaaani upo na mtu ndani unapambana Kwa hali na mali,hupati usingizi kichwa kinawaza mpaka kinakaribia kupasuka ili u angalau uwe na familia yenye maisha bora kumbe mwenzio anakuplania,anakuchora tu unavohangaika anasubiri zijae jae alianzishe mgawane apite ivi.
age yangu 34
nyumba nimeijenga nikiwa na miaka 28
ila ukiniona mvi zimejaa kidevuni kichwan kama mtu 50yrs
 
Dah pole sana mkuu, uzuri wa humu kuna wataalamu wa sheria, watakushauri namna ya kuepuka hili sekeseke.

Hapo umekutana na tapeli mkuu ila naamini kabisa utashinda
nataman sana watu sheria
mi sio mtaalamu wa haya mambo ya shwri
lakini pia naamini Mungu atatend haki
 
Back
Top Bottom