Nahitaji iPhone,Nitaipata wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji iPhone,Nitaipata wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Timor, Mar 18, 2009.

 1. Timor

  Timor Member

  #1
  Mar 18, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 49
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 15
  Wadau nisaidieni nahitaji iPhone 3D yenye 16Gb popote inapatikana naomba mnijulishe,Hata wale walio majuu tafadhali nisaidieni jinsi ya kuigazia.Nimeangalia kwenye mtandao (Internet) huko China zipo kuanzia $200 hadi $2000.Sasa mimi uwezo wangu ni dola $300 kwa ujumla.Hapa Bongo madukani sijaziona kabisa,
   
 2. K

  Kungurumweupe JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2009
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 317
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0

  Timor,

  You can get this in dar (Upanga) at KAJ STORE, Fire/Mazengo streets. Just use this email address: kaj.movies@gmail.com or call 0754090355/0754928924.
   
  Last edited: Mar 18, 2009
 3. E

  EvanMakundi Member

  #3
  Mar 18, 2009
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 39
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  iPhone zipo nyingi tu za kumwaga nenda kariakoo roundabout au mlimani city kuna duka
  Moja opposite na shoprite wanazo. Ila bei yake kwa hapa bongo ni kati ya sh 900,000 hadi 1300,000. Kazi kwako.
   
Loading...