Nahitaji iphone 6+ au 7+

Nahitaji iphone 6+ au 7+

esiankiki

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2014
Posts
486
Reaction score
665
Habari wakuu,

Naomba mnisaidie nataka kununua iphone 6+, kuna uzi nimeona wanasema simu za makumbusho ni refurbished au kama kuna mtu anauza 7+ anakaribishwa PM,

Bei za mlimani city nimeshindwa mfuko wangu hauniruhusu kabisa
 
Hapa Unazungumzia Simu ya Mwaka 2015 na ya mwaka 2016,

NO WAY UKAPATA MPYA SEALED HATA KDG HASA KWA HAPA BONGO, NA TENA USHASEMA HELA NI TATZO.

Hata factory warrant zao zishaishaa...

Ukikwepa Refub utaangukia kwenye mtumba/carrier unlocked...
Hakuna simu mpya Unauziwa nje ya boks...

Na sio tu ndani ya boks, bali boksi very sealed tena hasa kampuni kubwa km hizi...

Ukiiona unauziwa simu mtu kaishika inamelemeta halaf anakuambia brand new full boxed jiongeze tuu...

Kua tu mpole,
Chamsingi Soma battery health,
ukiikuta Chini ya 95% hio kwa matumizi ya kawaida imetumika mwaka mmoja, waweza beba.
Chini ya 90% acha kbsa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kununua kuanzia 90% kwenda juu eti
 
Back
Top Bottom