Nahitaji iphone 4 kwa laki 4

Nahitaji iphone 4 kwa laki 4

Mb-one

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
885
Reaction score
1,297
Nahitaji iphone 4 kwa laki 4 ,mwenye kuuza ani PM
 
IPHONE4 kwa Tshs 400,000 huwezi kupata, hata kama ni used!.
 
Nahitaji iphone 4 kwa laki 4 ,mwenye kuuza ani PM
Kama vipi ingia site hii, watakuuzia ambayo tayari ni unlocked~Apple

step1-promo-iphone4
[h=3]iPhone 4 Unlocked[/h]All the features of iPhone 4 without a contract commitment. Use it on the supported GSM cellular network of your choice.
16GB[SUP]1[/SUP] or 32GB[SUP]1[/SUP] from $649.00
Buy now
 
mnh.............iphone 4 kwa laki 4, mkuu u got 2 b kidding us
 
Kwa post yako mkuu siwezi kuwalaumu wa China kwa kutengeza vitu feki kwani wateja wapo .
 
Sijakuelewa, laki 4 for each, au zote kwa laki 4?
 
Last tym i bought a locked iPhone4 32Gb and a HTC Touch Diamond for 620,000/=
 
Kanunue iphone 4 ya maji labda utapata ya laki 4 ila hizi za Apple hupati hata ikiwa used.
 
Back
Top Bottom