Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Shamba heka 30 linahitaji kulimwa kwa tractor. Mwenye kutoa huduma hiyo tuwasiliane ktk namba 0714796870
0624070410
Shamba lipo Dar es salamm Magoza mji mpya mpakani na Mkuranga mkoa wa pwani.
Unafika njia panda ya mvuti unaacha rami unaingia barabara ya vumbi hadi unafika kwenye gereza.
Baada ya hapo unashuka km7 hadi shambani.
Mazingira ya shamba ni eneo kavu.
Offer yangu ni 70000Tsh kwa heka.
Nahitaji tractor lenye uwezo wa kulima sio kupalilia.kama picha zinavyojieleza.
Natanguliza shukran