Donpela JF-Expert Member Joined Jun 30, 2011 Posts 2,040 Reaction score 592 May 17, 2014 #1 Habari wadau. Rejea apo juu nina shida na huawei y300 nyeusi iliyokufa.Nashida nayo kama toy kwa mwanangu. Ameipenda simu yangu sana na anaililia mno. Namba yangu ni 0787 408180. Dau 30k
Habari wadau. Rejea apo juu nina shida na huawei y300 nyeusi iliyokufa.Nashida nayo kama toy kwa mwanangu. Ameipenda simu yangu sana na anaililia mno. Namba yangu ni 0787 408180. Dau 30k
Old Skuli JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 690 Reaction score 178 May 17, 2014 #2 haha...Kino makaburini,ya kwangu nilizika pale!
Twilumba Platinum Member Joined Dec 5, 2010 Posts 13,781 Reaction score 16,930 May 17, 2014 #3 vaikojoel said: Habari wadau. Rejea apo juu nina shida na huawei y300 nyeusi iliyokufa.Nashida nayo kama toy kwa mwanangu. Ameipenda simu yangu sana na anaililia mno. Namba yangu ni 0787 408180. Dau 30k Click to expand... Mnunulie mwanao vitu vitakavyomjenga kiakili! kumbuka huyo ni mtoto ambaye unaweza kumgeuzia bluee ikawa njano na bado akaamini ni blue. Mjenge kimawazo mnunulie michezo yenye kumjenga ili aamini simu si bora kwake. 30K inatosha kbs.
vaikojoel said: Habari wadau. Rejea apo juu nina shida na huawei y300 nyeusi iliyokufa.Nashida nayo kama toy kwa mwanangu. Ameipenda simu yangu sana na anaililia mno. Namba yangu ni 0787 408180. Dau 30k Click to expand... Mnunulie mwanao vitu vitakavyomjenga kiakili! kumbuka huyo ni mtoto ambaye unaweza kumgeuzia bluee ikawa njano na bado akaamini ni blue. Mjenge kimawazo mnunulie michezo yenye kumjenga ili aamini simu si bora kwake. 30K inatosha kbs.
Donpela JF-Expert Member Joined Jun 30, 2011 Posts 2,040 Reaction score 592 May 17, 2014 Thread starter #4 Twilumba nashukuru sana kwa ushauri wako na najitahid kweli kufanya hivyo.. Ila anapenda kushika na kurusha simu..s3 moja niligawa hivi hivi baada ya jamaa kuibwaga Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Twilumba nashukuru sana kwa ushauri wako na najitahid kweli kufanya hivyo.. Ila anapenda kushika na kurusha simu..s3 moja niligawa hivi hivi baada ya jamaa kuibwaga
Donpela JF-Expert Member Joined Jun 30, 2011 Posts 2,040 Reaction score 592 May 17, 2014 Thread starter #5 Old Skuli said: haha...Kino makaburini,ya kwangu nilizika pale! Click to expand... Old Skuli hahaha iyo kwakwel iache iendelee ku r.i.p nisije amsha mizuka yake bure Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Old Skuli said: haha...Kino makaburini,ya kwangu nilizika pale! Click to expand... Old Skuli hahaha iyo kwakwel iache iendelee ku r.i.p nisije amsha mizuka yake bure
king Chuga JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 510 Reaction score 53 May 21, 2014 #6 hahaha ww unahitaj spare