Habari ya muda huu wakuu, ninahitaji gari aina ya Howo tipper kwa ajili ya kununua.
Ziwe ni 6×4 yaani 10 tyres, ziwe katika hali nzuri ya kuingia kazini, Zikiwa namba D itapendeza zaidi japo hata C tutaizingatia pia ikiwepo Dar itapendeza zaid.
Kama unazo hizo gari au una connection tafadhali nicheki hapa JF au kwa WhatsApp 0755963775 uje na offer yako inayoendana na hali halisi.