Nahitaji hizi MOVIE wakuu, msaada please...

Nokla

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
3,190
Reaction score
1,780
Kama kuna mtu anauza hizi muvi/au anatoa bure naomba tuwasiliane tafadhari....
01. Final destination, part1.......hadi mwisho
02. Wish Master, part1......hadi mwisho
03. Wrong turn, part1.......hadi Mwisho
04. Saw

niPM au 0767698281 tujadili vizuri:washing:
 
Ukipata na mie naomba hii 'Olympus has fallen'
 
Mtafute Paje atakupa maujanja ya kuzidownload
 
Last edited by a moderator:
Hio Wrong Turn kama una huruma huruma sikushauri uingalie, kuna kuchinjana humo kama kuku, mchana kweupeeee. Zinatisha sana hizo Movie
 
Aaah yan final destination ninayo had ya tano,saw had ya sita,wrong turn had ya tano,nazipenda hiz movie though zinatishaaaaa,aswa saw kam una roh ya glass hutazam
 
Mkuu unapatikana wapi? Tuwasiliane basi...
 
Mkuu Paje njoo unipe maujanja hapa...

una bandwidth ya kutosha nikupe link, au unataka nikudownloadie?? au unataka nikuunge na huduma ya wireless internet yenye speed kubwa mno utapata net utumie upendavyo bila kikomo kwa 350 kwa siku au elfu 10 kwa siku 32??
kama upo miji mikubwa utaweza kudownload movie moja kwa dakika 12 tu.
kwa siku unaweza kupata movies zaidi ya kumi.
chagua
 
Mi nataka hiyo huduma ya kulipia elfu kumi kwa siku 32 ili niweze kudownload movie. Kwa hiyo nafanyaje ?
 
una bandwidth ya kutosha nikupe link, au unataka nikudownloadie?? au unataka nikuunge na huduma ya wireless internet yenye speed kubwa mno utapata net utumie upendavyo bila kikomo kwa 350 kwa siku au elfu 10 kwa siku 32??
kama upo miji mikubwa utaweza kudownload movie moja kwa dakika 12 tu.
kwa siku unaweza kupata movies zaidi ya kumi.
chagua

Kaka shusha link pamoja na jinsi ya kujiunga na hayo maujanja ya wireless ya zote i.e ya 350 na buku 10 utakuwa umenikata kiu yangu kabisa maana mimi na muvi damudamu!
shukrani nyingi kwako.
 
una bandwidth ya kutosha nikupe link, au unataka nikudownloadie?? au unataka nikuunge na huduma ya wireless internet yenye speed kubwa mno utapata net utumie upendavyo bila kikomo kwa 350 kwa siku au elfu 10 kwa siku 32??
kama upo miji mikubwa utaweza kudownload movie moja kwa dakika 12 tu.
kwa siku unaweza kupata movies zaidi ya kumi.
chagua

Niko interested na hiyo kitu....hebu nambie ntajiungaje????
 
Hizi ni movies au series?
Kama kuna mtu anauza hizi muvi/au anatoa bure naomba tuwasiliane tafadhari....
01. Final destination, part1.......hadi mwisho
02. Wish Master, part1......hadi mwisho
03. Wrong turn, part1.......hadi Mwisho
04. Saw

niPM au 0767698281 tujadili vizuri:washing:
 
Kama kuna mtu anauza hizi muvi/au anatoa bure naomba tuwasiliane tafadhari....
01. Final destination, part1.......hadi mwisho
02. Wish Master, part1......hadi mwisho
03. Wrong turn, part1.......hadi Mwisho
04. Saw

niPM au 0767698281 tujadili vizuri:washing:

hizi namba 1, 3 na 4 ninazo zote, kama unakaa Arusha nipm nikupatie bure kama ni mkoa mwingine hela inahitajika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom