babadullah
JF-Expert Member
- Feb 21, 2017
- 508
- 320
Wakuu Nina mpango wa kuishi hemani, sioni maana ya kujenga nyumba isiyohamishika nimekata shauri ninunue hema niishi humo.
Kwa kwenye kujua bei zake na yanapouzwa msaada Tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kwenye kujua bei zake na yanapouzwa msaada Tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app