Nahitaji haya material ya kutengenezea sabuni

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,607
Reaction score
4,770
Habari wadau nataka nianze ujasiriamali wa kutengeza sabuni

Ninahitaji material haya;-
Makontena kama hayo ya kutengezea sabuni

Pili nahitaji "soap making transparency" hii ndo ya kuigandisha sabuni kama inavyoonekana ktk bakuli [picha ya mwisho]


Nipo moshi kwa moshi na arusha material haya nitayapata wapi???
 
Hio "soap making transparency" imekaa kama Ice Cubes. Mtu anaweza akajua barafu na akatia kwenye soda au juice.

Balaa lake kama naliona[emoji18]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…