Mwl.RCT
Platinum Member
- Apr 5, 2009
- 15,770
- 22,718
Wadau
Nahitaji kununua NOKIA LUMIA 520 au LUMIA 525
Kama wewe ni muuzaji unayo dukani, Nijulishe duka liko wapi ili nifike.
Au kama unafahamu ni wapi naweza kupata naomba unipe maelekezo ni wapi nitaipata.
Pia ni vyema kutaja na bei yake.
Mimi niko Dar es salaam.
*** Tcoal9****