Habari wapendwa!
Naombeni mnifahamishe kwa apa Dar ni duka gani / wapi naweza pata Generator ndogo original. Na ni model gani inayofaa (mfano: HONDA, YAMAHA, n.k)? ambayo ni fuel economy. Iwe na uwezo wa kussuply/kuwasha balbu 70 za umeme na TV 10.
Wenye uzoefu na jenereta, naombeni mnijuze.
Thanks in advance.