Nahitaji Gari zifuatazo, kama unauza tuwasiliane

Mimi nataka
Kama unayo gari unauza nichek kwa 0713415537

1) Naomba Prado Diamond (Prado TX 120) kuanzia no C, engine iwe 2tr tuu, budget 20M

2) Naomba Rumion kali isiyorudiwa rangi No D za mbele, Budget 10M chap,

3 Nipe Costa mayai ya Engine 1hz tu, Seat 29, means zile ndefu, budget 35, isiwe na mkanda na isiwe na kipengele chochote, naweza panda

4) Nipe rav 4 Miss Tz (rav 4 mode 2006-2009) iwe kali namba D za mwishoni, iwe haijarudiwa rangi kokote budget 18M

5) Nipe CROWN ATHLETE Namba Mpya (za mbele tu) Cc 2490 Bajeti 11.m Hadi 12M, plz kama haina viwango usitume

6) Nipe PREMIO Model 2002/2005 Cc 1490 DarkGrey Colour Sio Silver Bajeti 14.5.m Hadi 15M iwe chases tu.

7) Nipe kill time vvti (rav 4 mode 2001-2005) no D kali ya 13M isiwe imerudiwa rangi

8) Nipe Raum new model kuanzia no C kali gari iwe nzuri, ofa 5M

9) Naomba Carina au Funcago kali budget ya 4M gari iwe nzuri ya kushawishi

10) Naomba IST kuanzia no DP iwe kali na haijawahi rangi, buget 8M

11) Nipe premio new model no D kali engine ndogo, cc 1490 tu, budget 10M

Mwisho nipe gari yoyote unayouza ambayo unataka pesa ya haraka, nichek tumalize

Note budget inaweza kupanda kulingana na ubora wa gari

Nichek kwa 0713415537 au fika ofisini Mwenge dar es salaam

TAFADHALI NITUMIE GARI UNAYOIJUA, AMBAYO UNA UHAKIKA NAYO NA AMBAYO IPO FULL DOCUMENTS, ZA DAR NAKUJA HAPO HAPO, MKOANI TUTAELEWANA
GX 110
Budget 4.5 mil picha
 
Mimi nina Mitsubishi Minicab cc 650 iko bomba namba B imetumika kidogo sana muda mwingi imekaa home hapa. .nimeona sina matumizi nayo tena baada ya kazi yangu kwisha.
6ml nauza nilinunua 11 Mln
Lisimamishe hap uwanjani tulione, tumuwahi before...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom