Mjasiriamali M
Senior Member
- Jan 15, 2013
- 142
- 69
Habari wanajamii, kama post inavyojieleza , nnahitaji gari ya kutembelea, chaser 4S, mark 2, corolla au carina. Zikiwa 4 cylinder itakuwa vizuri zaidi, mwaka kuanzia 1992 na kuendelea. Mwenye gari miongoni mwa hizo na bei za kufanana anitafute tafadhali. O719447204.