Kwa pesa ya 3-4milioni upo uhakika wa kupata vits namba C kutoka mkononi mwa mtu. Kwa IST sidhani, ni vigumu, unless upate kimeo.
Kama unataka kuagiza Japan, kwa vits inabidi ajipange sio chini ya 5milioni, na IST sio chini ya 10milioni.
kwa sababu ni gari ya kufanyia biashara jitahidi upate gari ambayo haitakusumbua, imagine upo na mizigo ya wateja wako wana haraka alafu unapata breakdown mara kwa mara kisa gari ni bovuNataka kufanya biashara ya home delivery maana tunabodaboda lakini haleti hela anasingizia mafuta anamaliza kwenye delivery za biashara zangu
Kwahiyo mume wangu kaniambia nitafute gari 3m-4m hata 5m sio mbaya naweza kuongeza mwenyewe
kwa sababu ni gari ya kufanyia biashara jitahidi upate gari ambayo haitakusumbua, imagine upo na mizigo ya wateja wako wana haraka alafu unapata breakdown mara kwa mara kisa gari ni bovu
Kwa hiyo budget ya kufikia mpaka 5m upo uhakika wa kupata Vits nzuri, na kwa hizo mishe itakufaa sana (very economy), lakini usijaribu kwa hiyo budget kulazimisha kupata IST, utapata kimeo na kujuta.Nataka kufanya biashara ya home delivery maana tunabodaboda lakini haleti hela anasingizia mafuta anamaliza kwenye delivery za biashara zangu
Kwahiyo mume wangu kaniambia nitafute gari 3m-4m hata 5m sio mbaya naweza kuongeza mwenyewe
Asee inabidi utulize akili kweli, bora uchelewe upate gari nzima ,kuliko kuwahi kupata gari mbovu likakusumbuaHaha kweli lakini
Leo tulikua tunabishana sana anasema siwezi kupata kwa hela hiyo nikambishia nikamwambia jf wanapostg tena mazima tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mbona litanishuka[emoji1787][emoji23] maana mwenyewe kasema nirelax hadi mwakani October sasa mm naona mbali ndio amesema nitafute hilo la 3-4m[emoji30][emoji30]
Hii hapa unaipata kwa 4.7milion onlyHello jf!!
Wapenzi mume wangu anataka kuninunulia gari, sasa kasema iwe kati ya 3m to 4m hivi[emoji16][emoji16] nitapata kweli nzuri?? Isiwe na matatizo matatizo jamani Na kwenye mafuta isiwe inakula sana...
Utapata vits ingawa nakushauri mshirikishe sana mumeo ili kujiondoa kwenye lawama (mlegeze asikuachie wewe peke yako kutafuta na kuinunua hiyo gari muwe wote)
Kwa hiyo budget ya kufikia mpaka 5m upo uhakika wa kupata Vits nzuri, na kwa hizo mishe itakufaa sana (very economy), lakini usijaribu kwa hiyo budget kulazimisha kupata IST, utapata kimeo na kujuta...