Nahitaji gari isizidi ml4

Nahitaji gari isizidi ml4

Jiandae kuwa na Phonebook yenye majina mengi yanayoanza na Fundi...

Fundi Puti
Fundi Rejeta
Fundi Ball Joint
Fundi AC
Fundi Umeme Gari
Fundi Wheel Alignment. LOL.
 
  • Thanks
Reactions: 911
Jiandae kuwa na Phonebook yenye majina mengi yanayoanza na Fundi...

Fundi Puti
Fundi Rejeta
Fundi Ball Joint
Fundi AC
Fundi Umeme Gari
Fundi Wheel Alignment. LOL.

Hapa umenipatia, mimi phonebook yangu ina:-
Fundi Tofali
Fundi Bati
Fundi Rangi
Fundi Septic
Fundi Fridge
Fundi TV
Fundi Simu
Fundi Tiles
Fundi Umeme
Fundi Plaster
Fundi Computer
Fundi Alminium
Fundi Gari
Fundi Mrembo eeeehhh!
 
Peugeot 505, 1991 model, inatembea, cd player, ac, power steering. Ni gari ngumu kwa hali yoyote ile ukilinganisha na makopo ya Japan. If interested pm me. Price 3.2M
 
Jiandae kuwa na Phonebook yenye majina mengi yanayoanza na Fundi...

Fundi Puti
Fundi Rejeta
Fundi Ball Joint
Fundi AC
Fundi Umeme Gari
Fundi Wheel Alignment. LOL.

Haha nimecheka sana LoL ha ha haaaaa mbavu zangu
 
mil 4 kwa mwaka 2007 ulikuwa unaweza pata korola mark2 lakini sasa bora ununulie bodaboda mbili saafi moja unatembelea nyingine inakusanya hela ya kuishi mjini
 
Ipo gari aina ya Honda Civil rangi nyeusi iko kwenye hali nzuri, bei yake ni mil4.
 
bajaj yenyewe hupati kwa dat price
 
kama utahitaji Beetle ya 1968 inatembea, seat mpya, new tires, door mirror, fuel economy 1liter = 40 km,fully loaded. Nijulishe.
 
hiyo GAIA kaka inaendaje?kama bei inaridhisha niichangamkie!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom