Nahitaji Gari isiyozid million 4

Hakuna binadamu anaejua yote na hakuna binadamu asiyejua yote kila mtu anaujinga katika suala lingine sijui wala sijawahi Fanya kazi za clearing and forwarding hivyo nakiri kabisa mambo hayo siyajui...

Ila kumiliki gari nimeanza siku nyingi sana....

Nyie wahehe bana kwa kujisifia khaa! Sasa nani kauliza kama we dereva mkuu? Anyway mambo vipi mkuu
 
Nyie wahehe bana kwa kujisifia khaa! Sasa nani kauliza kama we dereva mkuu? Anyway mambo vipi mkuu

Sijasema mi dereva hapo umenikosea....

Pili udereva sio sifa

Tatu mi sio muhehe
 
Eti eh? Ayayaayayaayaa kwa kweli nipe muongozo bana hapa nimeshaanza mchakato wa kufikiria kwenda kukopa baypot

Hahahahah baypot ni hatari mkuu utajutia...

Unatakiwa kuagiza gari isiyozidi miaka 10 nyuma then uwe na mshahara unaoanzia TGS D kwa maelezo zaidi muone CYBERTEQ
 
Last edited by a moderator:

Mimi nina Suzuki Escudo, 3 doors, manual ipo fresh. Tatizo ina exemption.
 
ongeza 500k nikupatie suzuki eskudo 3door (arusha)
Rangi yake maroon (dam ya mzee) imepauka kidogo hivyo unaweza kuirudia ukipenda.
Nimeipaki kwa 3 months sasa...natumia gari nyingine...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…