Ni kweli mkuu,nitaufanyia kazi ushauri wako..siku hizi gari za mkononi nying majanga..Mkuu sikukatishi tamaa ila inabidi utafute rafiki fundi makenika maanake hukawii siku unarudi nyumbani badala ya kumuita wife mama mbnative ukamuita mama clutch plate au mama cylinder head!!!
Nilikuwa nimeshapita, lakini nimeona ngoja nirui nikuibie siri ya bure. acha umiza kichwa, tafuta 1m ufikishe 5m kisha ingia online agiza suzuki kei, 650cc kana ground clearance nzuri tu, mafuta kananusa tu na hakatakusumbua.
karibu.
Ok mkuu,nashukuru kwa ushauri wako,inaweza kunigharimu bei gan mpk naitia mikonon suzuki k frm japan?
Hata ikifika sita mpk jijini Katavi sio mbaya.ngoja nisearch..
Hata ikifika sita mpk jijini Katavi sio mbaya.ngoja nisearch..
Search kaka, hautojutia. ukikwama nicheki tusaidiane, nimeingiza kei nne toka mwaka huu umeanza.
Search kaka, hautojutia. ukikwama nicheki tusaidiane, nimeingiza kei nne toka mwaka huu umeanza.
Mkuu kuna Prado new model naitaka ina range ngapi nikikuwekea mchongo wa tax exemption?
suzuki kei ya mwaka gani ndo itakuwaa nzuri?
sijakusoma vizuri mkuu, unataka kujua bei ya kuileta mpaka dar halafu kuitoa kwa exemption au unayo sehem unataka kuileta bongo kwa excemption au unataka mchongo wa excemtion tu, weka vizuri sentensi mkuu wangu.
isiwe chini ya 2000 mkuu, japo kuna watu wanazo za chini ya hapo na wanachapia mwendo mjini kama kawaida havisumbui. vigari vizuri sana mkuu kwa watu walio cost conscious, mafuta ya elfu kumi unapigia mwendo mpaka unaona aibu!
Mkuu kuna Prado new model naitaka ina range ngapi nikikuwekea mchongo wa tax exemption?
Nataka kuileta mpaka dar na nataka nijue gharama yake
Kaka hako n kazur sana sio
Kumbe mbwe mbwe nyingi ishu za magari huzijui qwa qwa qwa!