Wadau nahitaji gari isiyozid hela tajwa hapo juu..nimeamishiwa ktk mkoa wenye barabara za hovyo,pia hakuna daladala hivyo nahitaji gari kwa bajeti hiyo..sio mbaya hata ikiwa old model provided inanusa wese bse huku hata mafuta uwa yanatabia ya kuadimika kutokana na ubovu wa barabara..
Gari gani unahitaji??, au muhimu tu iwe na miguu minne??
Uko mkoa gani mkuu??Wadau nahitaji gari isiyozid hela tajwa hapo juu..nimeamishiwa ktk mkoa wenye barabara za hovyo,pia hakuna daladala hivyo nahitaji gari kwa bajeti hiyo..sio mbaya hata ikiwa old model provided inanusa wese bse huku hata mafuta uwa yanatabia ya kuadimika kutokana na ubovu wa barabara..
Thanks mkuu ngoja nicheck na hukoNakushauri ingia Website ya ZOOM TANZANIA LINK YAKE 1997 Toyota Carina ED For Sale in Dar Es Salaam, Tanzania | Classified
bei ni 3,900,000/
Huko utapata kila contact kwani zimewekwa hapo,
usisahau kujaza questionarier yao ipo kushoto kuhusu kiwango chako cha bei na aina ya gari
Wadau nahitaji gari isiyozid hela tajwa hapo juu..nimeamishiwa ktk mkoa wenye barabara za hovyo,pia hakuna daladala hivyo nahitaji gari kwa bajeti hiyo..sio mbaya hata ikiwa old model provided inanusa wese bse huku hata mafuta uwa yanatabia ya kuadimika kutokana na ubovu wa barabara..
Nilikuwa nimeshapita, lakini nimeona ngoja nirui nikuibie siri ya bure. acha umiza kichwa, tafuta 1m ufikishe 5m kisha ingia online agiza suzuki kei, 650cc kana ground clearance nzuri tu, mafuta kananusa tu na hakatakusumbua.
karibu.
Akishatoa hio 5m bei ya clearance na kodi zote itafika kiasi gani ?, Sababu mtu unapomshauri ni vema akajua kabisa gharama gari lisije kuozea bandarini na kukusanya storage charges akashindwa kulikomboaNilikuwa nimeshapita, lakini nimeona ngoja nirui nikuibie siri ya bure. acha umiza kichwa, tafuta 1m ufikishe 5m kisha ingia online agiza suzuki kei, 650cc kana ground clearance nzuri tu, mafuta kananusa tu na hakatakusumbua.
karibu.