Ni kweli Huku Zanzibar zipo Kibaoo zinapiga kazi fupi na route ndefu.
Ila kuwa na fundi,kuna aina ni imara sana na zinaingiliana spares,ila kuna aina ya hizo hizo ni kwamba ikiharibika lazima umpigia simu Steven Gerard au Michale Owen akutumie spare.
Kuna mtu analo,na iliingia kasumba kwamba hizi gari ni mbovu na ikiharibika ina lala,ila kumbe zina aina kama tatu hivi ila muundo ni mmoja,sasa lazima uwe mjinga kuuliza ili uambiwe,yalitajwa majina ya kitaalam ila mie sikuyashika.
Ila migari hii ipo poa sana,bonge la nafasi ndani,halafu inachukua watu wengi sana