HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,450
- 6,211
Unapeleka hio korosho Dar kwa nani? Ww ni middle man (dealer) au mkulima.. vibali gani unavyo sasa hivi vya kusafirishia huo mzigo? Una 50% teari ya transportation charges. Nusu utalipa mzigo ukifika. Nijibu hapa hapa ili kama mtu ana wazo achangie.Habari za asubuhi poleni na misukosuko ya maisha.
Ninahitaji gari hasa nikipata vichanja vinavyo weza kubeba Tone 30 nahitaji zinibebe Korosho mtwara kuleta Dar naomba kama utakuwa nazo njoo inbox tuyajenge
swala la kupeleka kwa nani hilo halikuhusu, pia swala la sijui middle man ama mkulima halikuhusu swala la vibali vipo vyote pia swala la kulipa advance hela ipo mfuko wa shati ni swala la kuleta gari tuandikishane mkataba then malipo yafanyike kazi ianzeUnapeleka hio korosho Dar kwa nani? Ww ni middle man (dealer) au mkulima.. vibali gani unavyo sasa hivi vya kusafirishia huo mzigo? Una 50% teari ya transportation charges. Nusu utalipa mzigo ukifika. Nijibu hapa hapa ili kama mtu ana wazo achangie.
Linanihusu sana, especially since you said that UNAHITAJI 15 TRUCKS kusafirisha jumla 450 tonnes na drivers wangu ndio wataulizwa hayo maswali wakati ww haupo. Piga picha kwanza ya huo mzigo.. halafu uiweke hapa hapa. Siku hizi waongo ni wengi. Kama una muda wa kupoteza KUANDIKA MAMBO HEWA YA KUTAKA TRUCKS 15 ZA UWEZO MKUBWA HIVYO wengine hatuna muda huo. Sababu umeamua kuja JF kufanya business, ndio mambo yataenda hivi. Weka picha ya huo mzigo kwanza au video kabisa.swala la kupeleka kwa nani hilo halikuhusu, pia swala la sijui middle man ama mkulima halikuhusu swala la vibali vipo vyote pia swala la kulipa advance hela ipo mfuko wa shati ni swala la kuleta gari tuandikishane mkataba then malipo yafanyike kazi ianze
Wewe kama huwezi biashara acha sina mda wa kubishana hapa unajua njia ya kuwasiliana privateLinanihusu sana, especially since you said that UNAHITAJI 15 TRUCKS. Piga picha kwanza ya huo mzigo.. halafu uiweke hapa hapa. Siku hizi waongo ni wengi. Kama una muda wa kupoteza KUANDIKA MAMBO HEWA YA KUTAKA TRUCKS 15 ZA UWEZO MKUBWA HIVYO wengine hatuna muda huo. Sababu umeamua kuja JF kufanya business, ndio mambo yataenda hivi. Weka picha ya huo mzigo kwanza au video kabisa.
Ww itakuwa umeota una korosho Tani 450. Pambaf kabisa ww. Ndoto zako ziache chumbani kwako usizilete JF. Tuna-discuss mambo halisi hapa tu. Kunguni mkubwa ww 😂😂😂😂Wewe kama huwezi biashara acha sina mda wa kubishana hapa unajua njia ya kuwasiliana private
Khaa mbona makasiliko? yani umekomaa kabisa hadi unatukana hahaha kweli njaa mbaya sana ndugu jitahidi kufanya kazi upate pesa haya makasiliko hutakuwa nayoWw itakuwa umeota una korosho Tani 450. Pambaf kabisa ww. Ndoto zako ziache chumbani kwako usizilete JF. Tuna-discuss mambo halisi hapa tu. Kunguni mkubwa ww [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂 ACHA KUFANYA REFLECTION. Itakuwa ww ndio una shida ya pesa basi unafikiria kila Mtu ana shida kama ww. Kumbuka usiseme HAKUNA PESA.. Sema sina pesa. Usifikirie kila mtu kafulia kama ww na ana muda wa kuandika ujinga kama ww.Khaa mbona makasiliko? yani umekomaa kabisa hadi unatukana hahaha kweli njaa mbaya sana ndugu jitahidi kufanya kazi upate pesa haya makasiliko hutakuwa nayo
Ww haujafanya biashara. Na hauwajui waTz. Atakupotezea muda wako hapa wakati hakuna mzigo wowote. Sorry pia kwako for your ignoranceKuna waswahili wanakera, mtu ana hitaji trucks,
Wewe unauliza unapeleka kwa nani,
Na huko juu kasema dar.
Wewe unataka asushe mzigo kwa dada yako?
Hizi biashara mengine mchatishane kwa pm huko,nimeshindwa kujizuia kwa kweli.
Sorry mhusika..
Matusi ya nn mkuu , kama huna hayo magari c ukae kimya tu , sasa matusi ya nn , au ndio hujielewiWw itakuwa umeota una korosho Tani 450. Pambaf kabisa ww. Ndoto zako ziache chumbani kwako usizilete JF. Tuna-discuss mambo halisi hapa tu. Kunguni mkubwa ww [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nina trucks 2. Sina zote 15. Ila nina connection ya kupata hizo nyingine. You want to deal with me, you follow my rules of trade. Otherwise, pita hivi!Matusi ya nn mkuu , kama huna hayo magari c ukae kimya tu , sasa matusi ya nn , au ndio hujielewi
Jamaa anahasira sana sijui amekutwa na niniMatusi ya nn mkuu , kama huna hayo magari c ukae kimya tu , sasa matusi ya nn , au ndio hujielewi
Kwani huyo jamaa kakulazimisha au ni ww na kiherehere chako , ww ndio unatakiwa kupita kimya kimyaNina trucks 2. Sina zote 15. Ila nina connection ya kupata hizo nyingine. You want to deal with me, you follow my rules of trade. Otherwise, pita hivi!
Matusi ya nn mkuu , kama huna hayo magari c ukae kimya tu , sasa matusi ya nn , au ndio hujielewi
USINIPANGIE. NAISHI MAISHI VILE NATAKA. NA PIA NAFANYA BUSINESS VILE NATAKAKwani huyo jamaa kakulazimisha au ni ww na kiherehere chako , ww ndio unatakiwa kupita kimya kimya
Nina hasira na watu hawako serious. Ila wanajifanya wanataka kufanya business na ww.Jamaa anahasira sana sijui amekutwa na nini
Ww itakuwa umeota una korosho Tani 450. Pambaf kabisa ww. Ndoto zako ziache chumbani kwako usizilete JF. Tuna-discuss mambo halisi hapa tu. Kunguni mkubwa ww [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona truck zenyewe hazina plate namba au ndio magumashi , haupo serious mkuu ndio maana unatukana tukana hovyo