Nahitaji Fundi wa PC za MacBook!

Nahitaji Fundi wa PC za MacBook!

HAMY-D

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
7,146
Reaction score
3,830
Habari yako?

Tafadhali, kama wewe ni fundi au unamfahamu mtaalamu wa PC aina ya MacBook naomba uniunganishe nae ili nimpe kazi ya kutatua tatizo la PC yangu. Natanguliza shukrani.
 
nichek mimi hapa 0762-647575 coz model zote na mac nimecheza nazo nazijua fika.
 
Back
Top Bottom